Kushindwa kwa Babalevo akitokea upinzani kwa tofauti ya kura 88 kuna ujumbe kwa wenye CCM yao!!

Kushindwa kwa Babalevo akitokea upinzani kwa tofauti ya kura 88 kuna ujumbe kwa wenye CCM yao!!

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Wenye akili watalifanyia kazi awe ameshindwa au ameshinda ila haki ya kweli ingekuwa pale tu kuwashindanisha washindi wa3 wa mwanzo na kupata namba 1 isiyo na mazonge.

Kama siasa ni lelemama kajaribu na wewe!!

NAKUPONGEZA BABALEVO USIKATE TAMAA SUBIRI TU SAUTI YA WANANCHI ITAKUBEBA!!
 
Wajumbe nao Hawana mamlaka kivile, anaweza hata kurudishwa mtu aliyekua wanne ndo awe mgombea na hawawezi kufanya kitu, Bado ni upuuzi tu
 
Wow
Screenshot_20250704-223955.jpg
 
Mtu ambaye amenishangaza ni Baruan Muhuza ,hii zaidi ya mara mbili anagombea na amepata Kura 200+, nadhani apumzike tu labda kama anatuma CV kwaajili ya teuzi za UDC tu
 
Mtu ambaye amenishangaza ni Baruan Muhuza ,hii zaidi ya mara mbili anagombea na amepata Kura 200+, nadhani apumzike tu labda kama anatuma CV kwaajili ya teuzi za UDC tu
Ni kweli kabisa mkuu Chukwu emeka Odumegwu Ojukwu. Huyu anatafuta kuingia kwenye pool ya maDC wapya wajao. Na hii ndio nia ya wengi.
 
Back
Top Bottom