let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Hii ni Timu ya HESABU ya US iliyoishinda Timu ya China.
Know what If US Get bombed today kilio kitagusa kila kabila duniani. Kuna waSukuma watapoteza wapendwa wao, Waha, Wahaya, Wakurya Etc.
But Urusi ikipigwa bomu leo kilio kitabaki huko huko kwenye miji kama mtakatifu Petersburg, na kwingine.
Kushindwa kwa Marekani katika jambo lolote ni kushindwa kwa mwanadamu.
My opinion though, you are free to disagree but not foul language, argue like a reasonable and rational thinking human being not like a lot.