Wewe dena unanifahamu kwa level gani hadin uwe na uthubutu wa kuyaandika uliyoyaandika?
Kijana umebanwa mbavuni......maneno mazuri, ila matendo hakuna...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe dena unanifahamu kwa level gani hadin uwe na uthubutu wa kuyaandika uliyoyaandika?
aisee dadaake mimi jaribu kuwapa exiperience hawa vijana wa mujini hawa wanaoshinda kwenye mabaa hadi saa kumi alfajiri
Kwa mujibu wa Generation Y.... bia inaongoza kwa 8 bila.
Sababu kuu iliyopiga tatu kwa mpigo:
Kadiri unavotoa biya kwenye friji ndo zinazidi kuwa tamu, kadiri unavyotoa mshahara kwenye ATM uchungu unaongezeka.
hahahahahaaaaaa!!!HEHEHE!
ni ukweli unaohuzunisha sana
lakini ni lazima tuukabili kwa namna yoyote ile
hakuna kitu kibaya kwa baba wa familia kuishi kama INVISIBLE
Bia ikihudumiwa na mwanamke mzuri inakuwa tamu zaidi....mshahara ukikutana na mwanamke mzuri balaaaa!
mpaka hapo BIA 10 - MSHAHARA 0
wee bana ushabiki umekuzidia
MFALME WA AMANI hapendi mashabiki
huyu ujue amelazimishwa kula kiporo jana.........sio rezolusheni wala nini!!!!teamo hiyo rezolushen yako ya 2011 ni poa
wewe wakikurubuni temanana nao kama hawakuelewi
we need a change in our families this 2011.
My dear dada....ukutane na Teamo mnakula biya....mkiwahi sana, Mungu awabariki ni saa sita....hapo ndo ukale na watoto?
hahahahahahahahahaha!hahahahahaaaaaa!!!
Saaa sita ----sabaaaa.............saa kumi na mbili shaaaaaaaaaa!!!!
weekend unaamka saa tano mchana........unaoga unapokea simu huku umeshikilia ufunguo mkononi...............huyooooooo!!!
Jpili unaamka wakati kila mtu ameshakwenda church................wewe huyooooooo kwenye supu ya samaki..........unaishi kimara unaenda kunywa supu kurasini.
NITARUDI.
huyu ujue amelazimishwa kula kiporo jana.........sio rezolusheni wala nini!!!!
haha hahahha hahahaaa wapokea simu mdau mmoja anakusubr tegeta mwngne charambehahahahahaaaaaa!!!
Saaa sita ----sabaaaa.............saa kumi na mbili shaaaaaaaaaa!!!!
weekend unaamka saa tano mchana........unaoga unapokea simu huku umeshikilia ufunguo mkononi...............huyooooooo!!!
Jpili unaamka wakati kila mtu ameshakwenda church................wewe huyooooooo kwenye supu ya samaki..........unaishi kimara unaenda kunywa supu kurasini.
NITARUDI.
AISEE nakukubali zaidi....Katika wiki kuna siku saba tafuta siku moja icross out na weka reminder kwenye kilongalonga hakuna kwenda mahali zaidi ya nyumbani, at the same time tafuta alternative road ya kukuwezesha kufika nyumbani mapema usisingizie foleni.
huyu ujue amelazimishwa kula kiporo jana.........sio rezolusheni wala nini!!!!
Dada hebu angalia huu mchanganuo hapa chini kama nilivouainisha. Teamo ni muumini mzuri wa hii ratiba:Katika wiki kuna siku saba tafuta siku moja icross out na weka reminder kwenye kilongalonga hakuna kwenda mahali zaidi ya nyumbani, at the same time tafuta alternative road ya kukuwezesha kufika nyumbani mapema usisingizie foleni.
Hahahaha
Haya:
Leo unakuwa na marafiki wa JF...wanywa bia na kitimoto
Kesho unakutana na marafiki majirani: Wanywa bia na mbuzi choma
Keshokutwa unakutana na maskulimeti: Wanywa konyagi na makongoro
Siku inayofuata zamu ya Infii: Bia, maini na kitanda
Then unakutana na workmates: Bia, porojo, blah blah, mkia
Siku nyingine twenzetu shamba...unakutana na Acid na Teamo....bia, poo table nyama
Siku nyingine..........
Hivyo hivyo unajikuta wiki imekata. Kina mama wanalazimika kutusamehe na kutuelewa.
Tuna ratiba ngumu sana.
Mi nawaambia watu huyu dogo jana alikuwa na dozi ya Panadol lakini kina Lili Flawa wala hawanielewi.
Eti rizolusheni......