Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,133
- 2,128
Nyimbo huwa wanasikiliza tu. Ujumbe huwa hawachukuiNikiangalia hii video na hujuma wanazofanyiwa wapinzani hua machozi yananitoka kwani CCM inaelekea imechoka amani.
View attachment 1255423
Swali fikirishi kama CCM ni chama pendwa kwanini hawataki uchaguzi huru na wa hakiUjumbe huu uwafikie viongozi wa vyama vyote vya upinzani hapa nchini na wana harakati ambao kimsingi wamekuwa mstari wa mbele kutetea suala zima la democracy hapa nchini.
Kama uwezekano wa kupambana nao haupo, ni vema tukawaunga mkono
kama uchaguzi wa serikali za mitaa umeambatana na matukio ya kuhujumiana wazi wazi itakuwaje kwenye Uchaguzi Mkuu?
Kuna umuhimu kutafakari Kwa kina na kuunga juhudi ili mnyukano ukaanzie kwenye chama tawala chenyewe.
Kwa hali ilivyo, Tz hakutakuwa na uchaguzi kwa kipindi chote cha serikali ya awamu ya tano. Kinachofanyika ni kutimiza wajibu tu ilhali viongozi wote wakiteuliwa na chama kimoja. Hapa namaanisha ukishateuliwa na hicho chama wewe tayari ni kiongozi tu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRIKA
Ujumbe huu uwafikie viongozi wa vyama vyote vya upinzani hapa nchini na wana harakati ambao kimsingi wamekuwa mstari wa mbele kutetea suala zima la democracy hapa nchini.
Kama uwezekano wa kupambana nao haupo, ni vema tukawaunga mkono
kama uchaguzi wa serikali za mitaa umeambatana na matukio ya kuhujumiana wazi wazi itakuwaje kwenye Uchaguzi Mkuu?
Kuna umuhimu kutafakari Kwa kina na kuunga juhudi ili mnyukano ukaanzie kwenye chama tawala chenyewe.
Kwa hali ilivyo, Tz hakutakuwa na uchaguzi kwa kipindi chote cha serikali ya awamu ya tano. Kinachofanyika ni kutimiza wajibu tu ilhali viongozi wote wakiteuliwa na chama kimoja. Hapa namaanisha ukishateuliwa na hicho chama wewe tayari ni kiongozi tu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRIKA
Unalipwa sh ngapi?na Mimi nataka nijiungeUpinzani ndio umeuwa uchumi wa TanzaniaView attachment 1255781
Nina hakika ninaweza kuishi bila mwenyekiti serekali ya mtaa. Sitahitaji chochote toka kwake. Akae tuu huko hukoBila wao kushiriki wewe ungayajuaje haya? Kifupi hii ni kete kwa upinzani sio ccm. Wapinzani walijua figisu zitakuwepo, tena za wazi wazi, ccm nao wameingia kichwa kichwa, hii imeongeza chuki dhidi ya ccm kwa kuonesha kuwa haiwajali wananchi wala kuheshimu maamuzi yao. Hivyo umma wote umeelewa kuwa kushinda kwa ccm ni batili hakuna uhalali wowote.
Hakuna uchaguzi. Naona sasa hizi ni teuzi tu maana walioteuliwa na ccm ndo viongozi wetu wa vitongoji na mitaaLengo la hizi figisu ni kufanya uchaguzi usifanyike maeneo mengi nchini ili kuficha aibu ya watakaojitokeza kupiga kura kuwa wachache, kwani ni dhahiri ile idadi ya waliojiandikisha kuwa milioni 19.5 itathibitika ilikuwa ni utapeli. That's it.