Kushirikiana shambani

Kushirikiana shambani

Kakondele

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
238
Reaction score
214
natafuta mtu wa kushirikiana nae shambani kuvuna miti ya mbao aina ya mbula pamoja na miti ya mkaa shamba ni ekari 8000 lipo sumbawanga lengo ni kupanda miti mipya na kuanzisha shughuli za kilimo kwa anayetaka na yuko serious anitafute kupitia 0765032151
 
Ndugu yangu miaka yote hiyo umekomaa kupanda na kutunza miti leo kuvuna peke yako imekushinda? Aloo.
 
Na mashaka na uvunaji huo wa miti.je malipo yake.au una maanisha uchawi wa sumbawanga.
 
Hujafunguka Vzr mkuu! sema unahtaji mtu wa kusaidiana nae kusafisha pori lako la ekari 8000 ili baadae likiwasafi uanze shughuri za kilimo etc. Nakushauri ufuate taratibu zinazotakikana kuepuka purukushani na wale watu wa maliasili.
over!
 
Back
Top Bottom