Kushtua gari ya automatic

vp gari lililosimama ukataka kuwasha acha hiyo sleed 20 au 40 linawaka

mkuu lengo la maada hii ni hilo lakini mm kwa kuanzia nilianza na ukiwa kwenye speed then ndio nifuate njia ya pili.kwa upande wangu naona lazima liwake tuu.

coz mpaka.sasa sijaona kama kuna kitu kinachozuia injine isizunguke ikiwekwa gear D then nakuanza kusukumwa lazima engine itazunguka na kama itazunguka basi lazima itawaka tuu ilimradi ifikie speed husika.

then kuna kitu kingine ambacho gari za automatic zimewekwa ni jinsi fuel pump inavyo oparate wengi wanaweza feli njia hii kwa kugelishwa na fuel pump.

lakini kwa gari za toyota na uhakika hutoweza feli
 
Mimi sio mtaalamu wa magari, lakini kutokana na maelezo ya waliopita huko thread za mwanzo. Ni kwamba gari linatakiwa lisukumwe kwa mwendo kasi kati ya 20 hadi 40. So funny kama ni rahisi kusukuma gari kwa spidi hiyo kama hakuna mteremko.
 
Kwa uelewa wangu mdogo wagari ya auto gear ile gear level huwa haiwezi shift kwenda kwenye D kama gari halijawaka. Je utafanyaje ili uweze stua kama gari ilizimwa kwenye P?
 
Kwa uelewa wangu mdogo wagari ya auto gear ile gear level huwa haiwezi shift kwenda kwenye D kama gari halijawaka. Je utafanyaje ili uweze stua kama gari ilizimwa kwenye P?
kweli uelewa wako mdogo. lakini ulichokisema sio kweli ni kwamba ili gear rever iweze kushift mpaka kwenye d or sehem nyingine yoyote kuna aina mbili manually huwa kuna kuwa na kibatan kimeandikwa shift unabonyeza na gear rever inatembea na njia ya kawaida unaweka swich on na kukan yaga brake ina move
 
Kama kweli uliweza we kibokooo,, make navojua na kauzoefu nilikonako automatic car huwezi kuishtua kwa stail iyoo ,, je iliwaka?
 
Napita,ntarudi baadae........
 
= gear lever
 
Sasa wewe mleta mada unazungumzia kustua kwa aina hiyo? mimi nikajua gari haitaki kuwaka watu wanaisukuma weee halafu inawashwa kama vile magari manual yanavyofanywa,,,
Kustua ni kustua, hata akistua NYOSO[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unapostua starter inakuwa haifanyi kazi??? Au battery haina charge??
 
Well Done
 
Kwa hiyo tuchukulie ukiwa mteremkoni, ukaliachia gari mwendo wa kutosha kama 20km/hr Ukashtua litawaka?
 
Sasa MPAKA UCHEZEE SELECTOR! (kuharibu wazungu walivyotengeneza) Sasa sema hivi, gari linawaka endapo fundi ataharibu mfumo harisi wa selector. Asipoharibu hakuna kuwaka
 
Kuna gari Suzuki vitara ilikuwa na gear box automatic nimenunua lakini hiyo gear box ilikuwa imeshauzwa(haipo), fundi kaniambia inawezekana kufunga manual gear box. Je uwakaji wake kwa kusukuma itakuwa sawa na huu ulioeleza hapa?
Kuna athari zozote za kwenye connection za nyaya zinazotoka kwenye control box?
 
Hapo kwenye red unaichomoa wapi, tupe kautundu, wengine idea ipo mbali na hatupendi kukwama porini
 
anajaribu kutuatia nja mbadala wakati wa dharula gari ianweza kukuzimikia porini na kuna wa usukuma why not try? kwa kifupi napngeza kwa ubunifu mm nacukua hizi nondo zake huwezi jua kuna siku zitaniaidia!! Bravo LEGE!
sawa unazichukua, lakini unaelewa pale aliposema ili iwake "unachomoa fuel pump ili isukume mafuta wakati wote kwa gari zile ambazo hukata mafuta?" mtego ndio upo hapo kama wewe ni mjuzi wa kushika usukani tu na kuongoza gari! Mie nimemtupia swali anieleweshe, kama mnajua mtujuze
 
anajaribu kutuatia nja mbadala wakati wa dharula gari ianweza kukuzimikia porini na kuna wa usukuma why not try? kwa kifupi napngeza kwa ubunifu mm nacukua hizi nondo zake huwezi jua kuna siku zitaniaidia!! Bravo LEGE!
sawa unazichukua, lakini unaelewa pale aliposema ili iwake "unachomoa fuel pump ili isukume mafuta wakati wote kwa gari zile ambazo hukata mafuta?" mtego ndio upo hapo kama wewe ni mjuzi wa kushika usukani tu na kuongoza gari! Mie nimemtupia swali anieleweshe, kama mnajua mtujuze
 
nimekupata kuna maswali nimekuuliza sana kuhusu hii, hakuna haja ya kuyajibu
 
kwa ushauri wangu mkuu ni bora ukanunua gearbox ya automatic kwa sabbau zipo nyingi sana lkn ukisema ufunge manual ujue hapo ni shuguli ya kufanyia modification coz lazima uongeze pedal ya clutch pamoja na kununua flywheel nyingine kubadili gear lever kuweka ya manual na modification nyingine garama hizo zitakuwa kubwa sana
 
Ila mie nilikuwa na manual gear box iliyokamilika na pedal zake, ndio akaniambia naweza tumia hiyo. Na tayari imeshafungwa, kuna kitu walifunga pale kwenye engine panapoungiwa gear box (sijui ndio hiyo gear lever) ndipo ikaunganishwa na gear box. Hapo NADHANI HIVYO UNAVYOSEMA TAYARI VILIKUWEPO. Nikaona badala ya kutafuta automatic kwa USAWA HUU WA MAGUFURI ngoja kwanza nipumue na manual.
ok. kwa pande zako automatic zinapatikana kwa bei gani?
 
Mkuu kama umefunga manually big up sana.hiyo ndiyo yenyewe haswaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…