Hivi sasa bei ya mafuta kwenye masoko ya dunia imeshuka kufikia dola za marekani kati ya 40 na 50 kwa pipa moja ambapo ushukaji huo ni zaidi ya nusu ya bei ya awali, hii imechangiwa na uzalishaji kuzidi mahitaji,kwahivyo uchumi wa nchi wanunuzi wa mafuta duniani umepanda kutokana na mafuta yanayouzwa kwa matumizi ya viwandani,uraiani,serikalini,taasisi,mashirika nk bei yake imeshuka sana pengine nusu ya bei ya awali.
je hapa tanzania hii hali ya unafuu mkubwa wa bei ya mafuta sambamba na soko la dunia na nchi nyingine duniani au tubaki kuota tu katika ndoto zetu za mchana na usiku?wachumi naomba majibu
je hapa tanzania hii hali ya unafuu mkubwa wa bei ya mafuta sambamba na soko la dunia na nchi nyingine duniani au tubaki kuota tu katika ndoto zetu za mchana na usiku?wachumi naomba majibu