kushuka kiwango cha elimu Tanzania

waziribakari

New Member
Joined
Aug 8, 2012
Posts
1
Reaction score
0
Hii nafikiri inasababishwa na upungufu wa walimu hasa kataka shule zetu za kata ambapo utakuta shule ina waliu watatu au wanne ambao hujikuta wanakuwa na mzigo mkubwa wa kufundisha idadi kubwa ya wanafunzi na wakati huohuo wanatakiwa kuhusika katika kuingoza shule yaani katika walimu hao inaitajika pawepo headmaster second and academic nk
suala lingine ni ukosefu wa vifaa vya kufundishia ambapo kwamba wanafunzi hasa wanaochukuwa masomo ya sayansi wanakosa huduma ya mahabara pamoja na vifaa vya mahabara hizo
suala lingine ni umaskini, jamii nyingi za kitanzania ni maskini ambapo wanafunzi wanakosa chakula pamoja na huduma nyingine ambapo kwamba wanafunzi hawawezi kumsikiliza vizuri mwalim hali ya kuwa wananjaa
 
Shule ya msingi janjajanja yafaulisha wanafunzi wote katika matokeo ya darasa la saba!
 
yes yes yes life inasonga...shule zimebak majengo tu..walim wawil..maabara zero..ada inalipwa na risiti wanatoa na kuigonga chata ya shule..maisha yanaenda ilimrad waonekane wafika form 4!! inasikitisha afu kila siku wabunge wanajiongezea mishahara na posho per kikao!! nashkuru mungu maana wanafunz hao hao japo wanasoma kwa shida lakin wanapata walau div 3 na wengine four na zero!!!
 
Tatizo hapa Tanzania sio kila mtu ana akili kama yako mtoa mada,mimi mwenyewe napata uchungu sana,lakini nasikitika sana kwa sababu serikali yangu haichukui hatua kwa hali hii mbaya. Mungu atusaidie,haswa awasaidie wale wachache wenye akili wanaoona haya mapungufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…