waziribakari
New Member
- Aug 8, 2012
- 1
- 0
Hii nafikiri inasababishwa na upungufu wa walimu hasa kataka shule zetu za kata ambapo utakuta shule ina waliu watatu au wanne ambao hujikuta wanakuwa na mzigo mkubwa wa kufundisha idadi kubwa ya wanafunzi na wakati huohuo wanatakiwa kuhusika katika kuingoza shule yaani katika walimu hao inaitajika pawepo headmaster second and academic nk
suala lingine ni ukosefu wa vifaa vya kufundishia ambapo kwamba wanafunzi hasa wanaochukuwa masomo ya sayansi wanakosa huduma ya mahabara pamoja na vifaa vya mahabara hizo
suala lingine ni umaskini, jamii nyingi za kitanzania ni maskini ambapo wanafunzi wanakosa chakula pamoja na huduma nyingine ambapo kwamba wanafunzi hawawezi kumsikiliza vizuri mwalim hali ya kuwa wananjaa