Kushuka kwa bei za mafuta: Nini kichocheo cha bei za mafuta kushuka?

Kushuka kwa bei za mafuta: Nini kichocheo cha bei za mafuta kushuka?

Chimps

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
559
Reaction score
356
Wakuu Naomba kuuliza,

Bei za mafuta zimeshuka na zinazidi kushuka.
Naomba kujua nini kinasababisha bei kushuka (nini kichocheo cha bei za mafuta kushuka)

Asanteni

Chimps
 
Kuna kitu kinaitwa "Fuel Catalyst" yaan kikichanganywa na mafuta tu bei inashuka kote ulimwenguni
Formular: CoNaOH

Tuwe na mazoea ya kusikiliza habari za kitaifa & kimataifa sio Bongoflavour daily,chat & dukua habari muhim usipitwe na ulimwengu.
 
Ni saudi arabia kuendelea kuzalisha mafuta kwa wingi licha ya opec kuitaka ipunguze uzalishaji ili bei ipande
 
OPEC wanajaribu kuziua kampuni za mafuta za marekani, kwa kutumia technolojia ha fraking Marekani imeweza kuwa mzalishaji namba moja wa mafuta duniani, lakini kuchimba kwa technolojia hiyo ni gharama zaidi.

Hivyo kwa kuzalisha mafuta mengi na kushusha bei ya mafuta duniani itawafanya wachimbaji wengi wa marekani kushindwa kuendelea na biashara.
 
Kuna kitu kinaitwa "Fuel Catalyst" yaan kikichanganywa na mafuta tu bei inashuka kote ulimwenguni
Formular: CoNaOH

Tuwe na mazoea ya kusikiliza habari za kitaifa & kimataifa sio Bongoflavour daily,chat & dukua habari muhim usipitwe na ulimwengu.

Hiyo ni kwa duniani lakini hapa nchini kichocheo ni kimoja tu OKTOBA 2015 siunajua kuna uchaguzi mkuu!. hii unayosema ni kutoka Juni 2014 mambo yangekuwa mswano lakini imetokea sasa sababu hiyo ya uchaguzi ukiisha wewe utaona watakavyopandisha kulipiza pengo.
 
Kuna kitu kinaitwa "Fuel Catalyst" yaan kikichanganywa na mafuta tu bei inashuka kote ulimwenguni
Formular: CoNaOH

Tuwe na mazoea ya kusikiliza habari za kitaifa & kimataifa sio Bongoflavour daily,chat & dukua habari muhim usipitwe na ulimwengu.

sasa hiyo fuel catalyst kipindi cha nyuma hakikuwepo au?
 
Back
Top Bottom