Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Tunaweza kusema Dolla ya Marekani umeshuka thamani lakini pia Shilingi ya Tanzania imeimarika.
Katika hali zote, zipo sababu nyuma yake ambazo zimepelekea hali hii.
Katika miezi michache
nyuma thank ya Dolla ilikua mpaka Tsh2720 kwa Dola Moja.
Imekua ikishuka thamani kwa Kasi sana mpaka hii leo kusikia Tsh 2291 kwa Dolla moja.
Hali hii ya kushuka kwa kasi namba hii nayo inatishia Mlinganyo ya Biashara za kuuza na kununua nje.
Sasa kipi bora kwa uchumi wetu, Tuuze zaidi au Tununue zaidi toka nje!?
Kwa wanunuzi ni faida sababu unatumia Shilingi kidogo kupata bidhaa nyingi.
Tatizo lipo kwa wanaouza nje hasa mzao ya kilimo na uvuvi.
Mifano, Mfanyabiashara toka Kenya angeweza kununua mahindi kilo Mia kwa USD 28 katika miezi mitatu iliyopita lakini kwasasa itamlazimu kutumia USD 35 kwa kiasi kilekile. Manayeke anaongezeko la garama y USD7.
Ikumbukwe kwa Msimu wa mavuno mwaka huu, tumesaidiwa na ukame uliozikumba Nchi za Zambia, Malawi n Muzambique ambapo ilibidi tuwauzie badala ya kununua kwao. Mwaka huu hali ni tofauti.
Serikali inawajibu wa kuangalia athali hasi na chana Ili kuweka Balance ya uuzaji na ununizi.
Dollar ikisimama kwa 2500 Bado sio mbaya kuliko huko tunako elekea
Wanunuzi wa nje watatafuta masoko mbadala nasisi tutajua hatarini kiuchumi.