maswimanga
Senior Member
- Apr 15, 2013
- 159
- 26
Watanzania tukiendelea kuwabeza na kuwakejeli walimu tusijute kuwa na taifa ambalo linashangilia dhambi ya umaskini,ujinga na maradhi.vilevile hatuwezi kujenga Taifa la watu welevu na wenye maadili kama wazazi wataacha jukumu la malezi na kuwaachia walimu.wao wakaona wanasiasa ni muhimu katika ukombozi wa maisha yao.