Kushuka kwa kiwango cha elimu tanzania.

Kushuka kwa kiwango cha elimu tanzania.

maswimanga

Senior Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
159
Reaction score
26
Watanzania tukiendelea kuwabeza na kuwakejeli walimu tusijute kuwa na taifa ambalo linashangilia dhambi ya umaskini,ujinga na maradhi.vilevile hatuwezi kujenga Taifa la watu welevu na wenye maadili kama wazazi wataacha jukumu la malezi na kuwaachia walimu.wao wakaona wanasiasa ni muhimu katika ukombozi wa maisha yao.
 
Waache tu maana mtoto mwisho wa siku ni wa mama na baba na raia ni mali ya nchi(serikali) ..watukaneni waalimu mtaona.
 
nchi inajengwa na wenye moyo, na kuliwa na wenye meno; ni usemi ambao nimekuwa nikiusikia na pengine unakatisha tamaa wenye jitihada angalau za kupata suluhu kwa matatizo makubwa yanayoikumba jamii yetu, mathalani ktk elimu; juzi tumeambiwa sasa darasa la saba tutaenda kupata degree kama vigezo walivyoweka TCU tutavifikia! kweli tuko makini na taifa letu? ikiwa aliyefaulu tu darasa la saba 60% wanashindwa kufaulu kidato cha nne, hapa jamani mi naona hatuhitaji kuwa legelege na mifumo tuliyoiweka.
 
Back
Top Bottom