nchi inajengwa na wenye moyo, na kuliwa na wenye meno; ni usemi ambao nimekuwa nikiusikia na pengine unakatisha tamaa wenye jitihada angalau za kupata suluhu kwa matatizo makubwa yanayoikumba jamii yetu, mathalani ktk elimu; juzi tumeambiwa sasa darasa la saba tutaenda kupata degree kama vigezo walivyoweka TCU tutavifikia! kweli tuko makini na taifa letu? ikiwa aliyefaulu tu darasa la saba 60% wanashindwa kufaulu kidato cha nne, hapa jamani mi naona hatuhitaji kuwa legelege na mifumo tuliyoiweka.