Kushuka Kwa Kiwango cha Ufaulu Tatizo ni nini?

Pelekaroho

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2010
Posts
1,601
Reaction score
375
Ninaangalia kipindi cha TBC, kushuka kwa kiwango cha ufaulu tatizo ni nini? wapo Singida huko sijui ni Wilaya gani katika shule za sekondari Changa na Koro, shule ina wanafunzi watatu wa kidato cha nne, watoto hawajawahi kusoma physics wala mathematics kwa muda wote waliokuwepo hapo shuleni, waalimu wenyewe sio qualified, discussion wanafanya kwa lugha zao(vernacular) pamoja na kiswahili kuja kufanya mitihani ya kidato cha nne iliyoandaliwa kwa Kiingereza! very discouraging, Haya ndo maendeleo waliyoyachagua tume ya uchaguzi, sijui tutegemee nn miaka kumi ijayo, TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Matatizo yako mengi ila kubwa na muhimu ni serikali kuingiza siasa kwenye elimu.
 
Kamwe sitamshauri mtu kusoma shule ya sekondari ya serikali.Ni wizi mtupu,wazazi wanapoteza kidogo walicho nacho .
 
Kamwe sitamshauri mtu kusoma shule ya sekondari ya serikali.Ni wizi mtupu,wazazi wanapoteza kidogo walicho nacho .
<br />
<br />
sio wote wanaosoma serikalini wanapenda kusoma huko....ts jus they have no choice...labda umpe mtu huyo material support ili akasome private kama ulivyosoma wewe.
 
tuko kwenye mfumo mpya wa elimu unaoitwa competency based approach ambapo mwanafunzi anatakiwa apate ujuzi kwenye mambo mbalimbali ya maisha,mwl anabaki kuwa mfanisi wa kujifunza.Sijui kama huo ndo muhama wa ruaza
 
elimu ya tanzania pumba tupu laiti watoto wa maskin wangepata shule za boardng ka za St st mambo yangekuwa gud Bt shule za kata du
 
kwanza wanafunzi wa sasa hawasomi usharobaro umewazidi, pili, walimu wa sasa hawana tofauti na rahisi wao yani hawako makini, tatu vitabu hakuna mashuleni, nne tuwe na uzazi wa mpango mwisho tujue, tuwajuklishe, tuwajuze wanetu umuhimu wa elimu na pia tuwe wazalendo
 
warudishe vitabu vya zamani. Vya siku hizi zero kabisa.
I miss u Juma na Roza... Mr. And Mrs Daudi, Musa na Baraka....it was sooo nice manenge mbakizie uji basi mandawa! Old good days 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…