Pelekaroho
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 1,601
- 375
Ninaangalia kipindi cha TBC, kushuka kwa kiwango cha ufaulu tatizo ni nini? wapo Singida huko sijui ni Wilaya gani katika shule za sekondari Changa na Koro, shule ina wanafunzi watatu wa kidato cha nne, watoto hawajawahi kusoma physics wala mathematics kwa muda wote waliokuwepo hapo shuleni, waalimu wenyewe sio qualified, discussion wanafanya kwa lugha zao(vernacular) pamoja na kiswahili kuja kufanya mitihani ya kidato cha nne iliyoandaliwa kwa Kiingereza! very discouraging, Haya ndo maendeleo waliyoyachagua tume ya uchaguzi, sijui tutegemee nn miaka kumi ijayo, TAFAKARI CHUKUA HATUA