Kushuka thamani kwa TZS dhidi ya USD ni speed ya 7G

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
640
Reaction score
958
Habari wana JF,

Naomba kuuliza: Hivi hii speed ya TZS kushuka thamani dhidi ya USD kuna maanisha nini kiuchumi? Asanteni
1686772059121.png
 
Inawezekana tusiwe tunashuka, bali USD ndio ikawa inaimarika.
 
Tatizo kubwa tuna import sana afu tunalipa kwa USD. Kama nchi inashindwa kupromote import substitution???
Mkuu naomba unisadie kidogo hivi zile $ tunazopata kwenye Utali, Madini, korossho, Mbaazi, Kahawa, Makaa ya mawe guys Zinakwenda wapi? Mbona Deficit ni kubwa kwenye Balance of payment(BOP) maana tuna Export ila inazidiwa na Import na wachimi Wetu wabobezi wakoo kimiya kutafuta suluhu ya Hii Deficit Eli tuwe na positive balance kwenye BOP?
 
Mkuu hii serikali ukiingia dipu sana utaishia kulia tu. Hizo ndo sekta zilizotakiwa kutupa foreign currency ya kutosha ila mpaka sasa tunategemea mapato ya TRA. Nchi nyingi hasa Africa kwa sasa ni msiba wa wote tatizo ni fluctuations za bei ya mafuta, pesa nyingi sana tunalipa kwenye mafuta afu tunalipa kwa dollar.

Ishu nyingine tuna import bidhaa kama chakula, wakati hapo tuna export chakula nje, hizi ni akili za wapi?.

Kitu kingine japo wanaruka sarakasi tuna inflation ila wanatoa data rate ipo 4.3% wakati ukitizama unaona kabisa bei za vyakula na bidhaa mbalimbali ziko juu. Inflation nayo inapelekea unfavorable B.O.P.

Japo lingine tuna madeni makubwa afu yanalipwa kwa USD, so deficit haiwez kwepeka. Kwa jinsi wanasiasa wanavyoongea ba kupiga siasa kuhs uchumi mara utaskia investors wame inject trillion 5 kwenye uchumi. But ukirudi kwenye uhalisia tuna hali mbaya sana pia sarafu yetu inazidi kudepreciate.

Ishu ya mwisho pia the U.S under federal reserve wamehike interest rate, ukirud kwenye money supply pale ambapo unaongeza interest rate inapelekea decrease in money supply.
 
Kuna fursa ya kuuza Mahindi

Kenya na Sudan , tungewapekekea Mahindi Sudan Kysin Via Kenya ,then watulipe Kwa $ , hata Kenya tingewapa mashariti mtu anayetaka Mazao yetu atulipe Kwa $ , tunaweza kuweka mikakati kwenye Kahawa tuwezi kuuza nje, maana Uganda na Kenya wanapata Hela nzuri Wakulima na serikali unapata foreign currency za Kutosha, Tunaweza mkazo kwenye BBT na pesa nyingi bila kuwa na uhakika wakuuza huo mchuzi wa zabibu kwenye soko Gani, nguvu iliyotumika kwenye BBT tungeweka nguvu kwenye Kahawa, Chai, pareto, Mbaazi, Koroshio, wachimbaji wadogo ndio nguzo kwenye Uchumi wetu ,kwani wao wanaweka pesa zao ndani , Hawa wachimbaji wakubwa wao wanahammisha fedha zao zote kwenda kwao , sisi hatufaidiki na mauzo Yao ya dhahabu, Kwa hili tuwape nguvu wachimbaji wadogo, tuongeze uzalishaji wa Mpunga Eli tuuze Michele mwingi Congo, Zambia, Malawi, Rwanda, Burundi, Malawi, Kenya, Sudani Kusini, Somalia, Ethiopia, martus, Shelisheli, Madagascar, Uarabuni, Kuuza. Nyama ya Ng'ombe ulaya, Uarabuni, Shelisheli, Madagascar, Nyama ya mbuzi na Kondo kwenda Uarabuni tumetengeneza machinjio ya kisasa ila tunashindwa ya kuyatumia, uzaji wa Makaa ya mawe kwenda ulaya, Africa tunayo yamekaa tu pale mchuchuma, kuwapa wawekezajo binafsi migodi ya uranium kule Namtumbo , Eli tuwezi kuuza nje, Kutumia nishati ya umeme Kutumia nuclear na uranium yetu, Eli tuzalishe umeme wa kuuza nje ya Nchii, kuweka bandari Kavu Tunduma Eli tuwezi kuwavutia nchii nyingi za Kusini mwaafrica, Tunduma inaweza kuwa Hub nzuri Kwa nchi zote za Kusini Zambia, Zimbabwe, Malawi, Congo, na sehemu za mashariki ya Angola ambazo wanatumia sana Maharge na Karanga zetu. Tukatengeneza soko kubwa la kisasa la bidhaa mbalimbali Tunduma kuvutia wanunuzi wengi kutoka Zambia, Congo , Zimbabwe na Malawi.. kuimarisha reli ya kati kuanzia Tabora na kigoma turahisishe usafirishaji wa mizigo ya Congo Kwa Kutumia Reli. Tuongeze Ruzuku kwenye uzalishaji Alizeti na michikichi Tupunguze uagizaji wa Mafuta ya kula. Leo Hii nchi inaagiza Mafuta ya kula na malighafi zake kutoka njee huku Tukiwa na ziadi ta Tani zaidi ya Milioni Moja ya Alizeti hazina wateja wenye viwanda wanaagiza Mafuta nje wanawacha kukunua Alizeti Kwa wakulima, Kuongeza uzalishaji wa Soya ambao inatoa Mafuta mengi kuliko hizi mbegu nyingine, kuongeza uzalishaji wa Karanga na kuuza nje, kuongeza uzalishaji wa Dengu. kuuzuia iingizaji wa Ngano kutoka nje wenye viwanda vya Ngano wanatumia $ import Ngano wakati Ngano ya makete, hang, hazina soko, uongezaji wa uzalishaji sukari kuwapa nguvu wakulima Eli kuongeza uzalishaji wa Sukari , tuwe kama Zambia tuwezi kuuza sukari nje. Kuongeza viwanda vya sukari maeneo ya Mpwawa tubugwe, Songwe maeneo mro Momba, Rukwa maeneo ya Maji moto, Babati maeneo magugu, Kuongeza viwanda maeneo ya Kusini.
 
Tamkumbuka Mzee baba, na Yale maduka yangeendelea kuwepo ndo thamani inge spidikaaa zaidi
 
Kwa yule mzee Hali ingekuwa hivihivi or mbaya zaidi, chukulia. Upandaji wa Mafuta kwenye soko la Dunia, tungekuwa na uhaba mkubwa sana wa bidhaa ya Mafuta ,
 
Mkuu umeandika madini sana shida ni serikali yetu. Serikali haina kabisa monetary policy za kutotoa huku bali siasa zimekua nyingi sana.
 
Mkuu mfumo umetuweka Kando sisi watoto wa wakulima , tumeshindwa kupata Fursa za kuwatumikia Watanzania, ukienda kwenye kazi ukiwa kwenye nafasi za chini ukiwa na mawazo chanya na mbinu za kuongeza Teja unakywa Adui wa Mabosi na wenye mfumo
 
Back
Top Bottom