AGROPRODUCT
JF-Expert Member
- Apr 2, 2023
- 290
- 952
Tumefungua kwenda wapi Kiongozi?Tumefungua nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumefungua kwenda wapi Kiongozi?Tumefungua nchi
Mkuu hizi pesa za makaratasi ni utapeli kwetu or Kwa Dunia yote. mbona wenzetu wa Dubai Mafuta Yao yanawasadia kuendesha Uchumi wao, Wasaudia piya, Kuwaiti, Irani, angalia wenzetu wachina, India, Pakistan mbona wanaokwenda vizuri kwenye Uchumi. Dubai wamekwenda mvali sana kwenye Sector ya usafiri wa Anga wanashindana na hao wenye kuprint Hela za Dunia? Dubai wanatoka kwenye Uchumi wa Mafuta wamehamia upande wapili wa sector nyingine, wanajianda na Maisha bila kutegemea Uchimbaji Mafuta.Hizi pesa za makaratasi ni utapeli tu. Wenye mamlaka wanachezesha game. Za kwao wanazipa thamani, za kwetu wanazishusha. Ni utapeli mkubwa.
Usinijibu kwa namna walivyokuaminisha. Ni moja wapo ya kukubadilisha akili waonekane wana logic ila bado wanatufanyia utapeli.