Kusifiwa na mwanaume mwingine nako kubaya?

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,448
Reaction score
7,972
Habari wanajamvi

Wanaume mmezidi sasa,kama ni wivu umezidi kiwango

Upo kwenye social network kama vile insta,fb,jf na nk

Kama kawaida sisi wanawake tunapenda kupost picha mbalimbali kuonyesha fashion za nguo tulizovaa au muonekano wako wa mwili kadri siku zinavyoenda ili kupata mawazo mbalimbali kutoka kwa marafiki

Unapo post picha watu mbalimbali hucoment kuhusu picha yako,mfano wanaume comments zao

"woowo,una chuchu tamu balaa!

" waoooh so beautiful my cute,no one like you"

Mwingine

"My love umeumbwa ukaumbika,sura hiyo,wowowo! haki amungu yesu na Maria!

Na nyingine nyingi

Baadae mpenzi wako akatembelea wall yako kuona ulichopost na comments za marafiki akakutana na comments za hivyo

Eti anaanza kugombana,kuhusu comments za hao wanaume na anakutishia kuvunja mahusiano la sivyo uwablock wanaume wote au ujitoe kwenye social network

Jamani huu ni wivu au nini?

Kwani ni vibaya kusifiwa na wanaume wengine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko kusifiwa sifiwa mwisho wa siku atataka aoene yaliyomo ndani akusifie..
Mwanaume anayekusifia hana nia nzuri nakuapia, furahi ukisifiwa na mpenzio au mmeo..
 
Huo sio wivu ila ni upumbavu wa mwanamke ambaye hajitambui. Wanawake mnakosea kitu. Hapa lazima mwanaume uwe mkali.
Kuna njia ya watu kukomenti. Mtu atakomenti na kukuongelea kutokana na jinsi wewe unavyo jipresent kwake. Ukijichukulia poa nae atakuchukulia poa. Ukijiweka ktk mazingira kuwa unatongozeka na kugongeka kirahisi wanaume tutakuchukulia hivyo hivyo, tutakutongoza na kukugonga kirahisi rahisi hivyo hivyo UTAKAVYO. Ukijidharau nao watakidharau.
Sasa kama watu wanakoment hivyo kuhusu wewe, WEWE mwanamke ndio umewawekea mazingira ya wao kuwa huru kukoment hivyo. Haiko sawa, kuna uwezekano hata mkikutana wote ndio wale watu anakushika tako na wewe unacheka tu. Weka mipaka na jiheshimu ukiwa nao uone kama watakomenti huo ujinga.
Alafu wewe utakuwa mtoto mdogo kama unaona wakikoment hivyo ni sawa na unacheka tu.

UNAVYOJI PRESENT KWA MTU/ WATU BASI NDIVYO WATAKAVYOKUCHUKULIA.
 
Wala picha huwa sio mbaya,na wanaume wengine huwa hatuwafahamu,huwa ni matani na mbwembwe zao

Kwa hiyo wakikoment hivyo tuwambie tuheshimiane au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala picha huwa sio mbaya,na wanaume wengine huwa hatuwafahamu,huwa ni matani na mbwembwe zao

Kwa hiyo wakikoment hivyo tuwambie tuheshimiane au

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mwanaume wa facebook HUMFAHAMU, kawaje mmoja wa marafiki zako? Huoni kuwa una tatizo hapo? Au unaposema huwafahamu unamaanisha nini?
Kama picha sio mbaya chuchu anazionea wapi au anaanzaje kuongea masuala ya chuchu?
Kama nilivyosema, UMAVYOJIWASILISHA KWA MWANAUME NDIVYO ATAKAVYO KUCHUKULIA. Kwa mfano: hivi kuna uwezekano Christina Shusho kavaa kapendeza kapost picha alafu wanaume ktk akaunti yake waje waseme UNA TAKO KALI SANA SHUSHO?
 
Ukiwa wa heshima utaheshimiwa tu.

Hapo lazima me wako akuone kama unajiuza kwenye social networks. Na lazima akufokee tena kwa hasira.

Chukulia kama yeye angepost picha yake, then ukawa unaziona comments za kubebika utafikiriaje akili mwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nafikiri katika watanzania milioni zaidi ya 45 huwezi kukosa mwanamke ambaye hatumii social network,wala ambaye hajui hata kutumia simu ya tochi.hizo ni stress za kujitakia kama vile mtu anayehangaika kusomesha mwanamke utafikiri wanawake ambao wamesomeshwa tayari na wazazi wao hawapo.
 
siwezi kaa tu nang'aa sharubu nikiona kidume kingine kinamsifia manzi angu... akili zenu wenyewe mnazijua wenyewe ukisifiwa una chuchu nzuri utataka ukamuonjesha kabisa ili athibitishe na utamu uliopo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Katika kitu ambacho nakipiga vita ni kuona wife kajipost fb iwe picha za heshima au uchi.. Mi binafsi namshukuru Mungu hajawahi kujipost hata siku moja na ye binafsi hapendi huo upuuzi wa kuuza sura. Hata yeye hapendi kuona nasifia na wadada fb anakua mkali na tunamaliziana wasap..
===================
Kwako wewe mleta mada... Wewe ndo chanzo cha kusifiwa chuchu, usitafute mchawi.. Mi binafsi siwapi nafasi wadada wa fb kufanya watakalo juu yangu na pia kila siku wananiambia namuogopa mke wangu kwakua nawapiga biti kutumia picha zangu vibaya.. Najijua mwenyewe sasa hivi tunaheshimiana sana.. Wana like, kukoment lakini sio koment za uchochezi.. Labda nikwambie kitu mimi nilikua na girlfriend sasa hivi haniongeleshi mwezi tena huu kisa kila akiona nimetupia picha kuna wadada kama watatu wanawahi seat ya kulike tu.. Akanijia juu kwamba ni madem zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…