cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,448
- 7,972
Habari wanajamvi
Wanaume mmezidi sasa,kama ni wivu umezidi kiwango
Upo kwenye social network kama vile insta,fb,jf na nk
Kama kawaida sisi wanawake tunapenda kupost picha mbalimbali kuonyesha fashion za nguo tulizovaa au muonekano wako wa mwili kadri siku zinavyoenda ili kupata mawazo mbalimbali kutoka kwa marafiki
Unapo post picha watu mbalimbali hucoment kuhusu picha yako,mfano wanaume comments zao
"woowo,una chuchu tamu balaa!
" waoooh so beautiful my cute,no one like you"
Mwingine
"My love umeumbwa ukaumbika,sura hiyo,wowowo! haki amungu yesu na Maria!
Na nyingine nyingi
Baadae mpenzi wako akatembelea wall yako kuona ulichopost na comments za marafiki akakutana na comments za hivyo
Eti anaanza kugombana,kuhusu comments za hao wanaume na anakutishia kuvunja mahusiano la sivyo uwablock wanaume wote au ujitoe kwenye social network
Jamani huu ni wivu au nini?
Kwani ni vibaya kusifiwa na wanaume wengine?
Sent using Jamii Forums mobile app