Baba Mesha
Member
- Jun 5, 2015
- 17
- 2
inasababishwa na ccm
Ndugu pole kwa hilo Tatizo la mke wako huenda ana mtatizo ya mabadiliko ya Hormone zake nenda kapime na utumie dawa za hospitali asipo pona mimi dawa ya kumtibu mke wako na kupata hedhi ninayo ukiweza nitafute kwa kubonyeza hapa.MawasilianoHabarini Wana Jukwaa,
Mimi nina mke wangu alijifungua kwa upasuaji 0ktoba mwaka jana, sasa kuanzia mwezi Mei mwaka huu alipata siku zake ila imetokea ghafla hajaziona! Hapo kuna nini?
Nisaidieni jamani..
inasababishwa na ccm
Ni kweli kwamba kama mwanamke alijifungua na akaanza kupata siku zake, na baadaye kutokupata siku ni vyema kufanya uchunguzi kama amepata ujauzito.
Lakini pia, hii huweza kujitokeza bila mama mhusika kuwa mjamzito.
Hii ni kwa sababu kupata kwake siku hutegemeana na kiwango cha kichocheo cha prolactin. Prolactin hupingana na vichoche vyote ambavyo huandaa mji wa mimba na vili vinavyoandaa mayai.
Hivyo basi, kulingana na juhudi za mama kunyonyesha huweza kusababisha kichocheo hiki kuwa juu(huzuia hedhi/ujauzito) au kuwa kiwango cha chini ambapo(hupata hedhi/huweza pata ujauzito).
ahsante kwa ushauri, ni kweli alikuwa mbali nami kwa kipindi cha mwezi, sasa hedhi yake ilianza 22 april, 22 mei, 22 juni, kutoka hapo mpaka leo hajapata, nikajipa moyo labda kwa kuwa sikuwa naye kutoka julai hivyo akawa busy kunyonyesha hivyo homoni zikawa juu..! lakini ninapenda kujua, nimpimaje au nitumie kipimo gani kujua.?