Kwa wataalamu, kama mwanaume ni rijali na hormose zake zipo sawa ila tatizo tu ni kiwanda kimesimamisha uzalishaji wa mbegu za kiume nini tiba yake? utaamshaje kiwanda kianze kazi tena.
Historia fupi, Mgonjwa alikuwa na tatizo la kuzalishwa kwa mbegu chache (sperm count) katumia dawa mbalimbali za kuongeza uzalisha (boosting sperm count) kwa kipindi kirefu (zaidi ya miaka 5) bila mafanikio hatimae kiwanda kikasimamisha uzalishaji. Vipimo mbalimbali vilifanyika kutafuta sababu ya mbegu kuwa chache na pia kusimama kwa kiwanda hazijajulikana.
Msaada tafadhali