Kusimama kwa uzalishaji wa mbegu za kiume nini tiba yake

Kusimama kwa uzalishaji wa mbegu za kiume nini tiba yake

Makanyagio

Senior Member
Joined
Jun 25, 2009
Posts
125
Reaction score
30
Kwa wataalamu, kama mwanaume ni rijali na hormose zake zipo sawa ila tatizo tu ni kiwanda kimesimamisha uzalishaji wa mbegu za kiume nini tiba yake? utaamshaje kiwanda kianze kazi tena.
Historia fupi, Mgonjwa alikuwa na tatizo la kuzalishwa kwa mbegu chache (sperm count) katumia dawa mbalimbali za kuongeza uzalisha (boosting sperm count) kwa kipindi kirefu (zaidi ya miaka 5) bila mafanikio hatimae kiwanda kikasimamisha uzalishaji. Vipimo mbalimbali vilifanyika kutafuta sababu ya mbegu kuwa chache na pia kusimama kwa kiwanda hazijajulikana.

Msaada tafadhali
 
Pole hili ni linaweza kwa ni tatizo la lishe zaidi. nitafute nitakuelekeza zaidi. nasema hivyo kwa sababu itabidi nikuulize wewe mwenyewe maswali zaidi na jinsi unavyokula na kuishi(life style). +255 689 417 472
 
Back
Top Bottom