Kusimamisha kimakosa, (unknown error)

Kusimamisha kimakosa, (unknown error)

ntundaga

Senior Member
Joined
Sep 13, 2018
Posts
141
Reaction score
203
imeshawahi kukukuta hiyo shababi mwenzangu? ukajikuta tu tango limenyooka sehemu ata haistahili? hukuaibika? au ile unasisimua mnara kwa mtu ambaye ni aibu kabisa, labda tu umeona nyeti ya ndugu bahati mbaya na ukaenda mnara, tupe kisa chako ilikuaje na vipi ukamtuliza mjomba alale?

mimi imewah nikuta kwenye daladala nikiwa nimesimama kuna dada alisimama nyuma angu, aliniekea nyonyo laini na la moto sana mgongon kwangu, nikajikuta kitu inanyooka kuelekea kichwani kwa dada alokaa kwenye seat, aliningalia kwa jicho la ajab sana nkajikuta naimba tenzi ya rohoni kimoyo moyo nikimsihi mjomba atulize munkari, ntapewa kesi ya udunga dunga...
 
Hahahahhahahahahaha Dah,nakumbuka nikiwa Jkt alipita matron(afande Wa kike) kafungasha balaa,,mnara ukasoma 5G Mara baada ya seconds kadhaa akapita officer Wa jeshi amabo kijesh unatakiwa kusimama na kupiga salute!! Hapo ndio ikawa mtihan sasa!! Dude limenyooka kama limeona tamu!! Aisee nikikumbuka nacheka saaana!!
Ilinibid kusimama hivo hivo maana vingenevyo ningepewa adhabu ya kulinda na yule Jamaa akikuonea Huruma kakupa saba
 
Imenikutaa sana kwenye daladala ilaa huwa nakuwa nimebebaa begi so nalibebea kwa mbelee kufichaa au nabanaa na mkandaa maana duuh hatarii tupuuu....!! Mara nyingi unakutaa makalio yanagusagusaa mashine sasa balaa hilooo
 
Hahahahhahahahahaha Dah,nakumbuka nikiwa Jkt alipita matron(afande Wa kike) kafungasha balaa,,mnara ukasoma 5G Mara baada ya seconds kadhaa akapita officer Wa jeshi amabo kijesh unatakiwa kusimama na kupiga salute!! Hapo ndio ikawa mtihan sasa!! Dude limenyooka kama limeona tamu!! Aisee nikikumbuka nacheka saaana!!
Ilinibid kusimama hivo hivo maana vingenevyo ningepewa adhabu ya kulinda na yule Jamaa akikuonea Huruma kakupa saba
noma sanaaa
 
Kuna siku nimepanda daladala mkoani akaingia mdada fulani kavaa gauni tu tight afu ndani hakuna kitu na manyonyo yanaonekana yeye akawa amesimama nilipata tabu mno
 
Imenitokea jana mchana ofisini, kuna mfanyakazi mwenzangu alinambia mmewe anakuja jana, sasa nikawa namtania tu kwamba "naona unajiandaa leo kwenda kuishughulikia" daaah dada yalimtoka maneno hayo hadi nikajikuta Afande mmwaga maziwa ya mgando kasimama dede, alinambia, yani naona muda haufiki, akifika tu naaanza kumnyonya dushe, namshika mapu.. na leo usiku kucha tutati..... naye hakuna kupumzika" mwisho wa kumnukuu
 
Duh! Kwa maneno hayo Kwangu nisingemuacha siku ipite hivi hivi. Hawezi kuniumiza hivyo bure tu
 
Mm ndo ugonjwa wangu,nikiwa na ke tu,tatizo ila nimegundua dawa inanisaidia sana,ikisimama mm nainama kwa muda tu,mambo poa
 
Hua inanitokea mara nyingi,
Moja katika masiku nilienda sehemu kupeleka wazo la biashara, niko na ile board nasubiri wamalize utambulisho nianze. Ili kuinuka Goma hili hapa halafu niko na sarawili ya kitambaa, niliomba ardhi ipasuke. Ila kibishi nikafanye presentation kama hakijatokea kitu ilipoa yenyewe katikati huko. Mungu mkubwa sikukosa changu.
Toka siku ile mitoko mingi ya presentaion napiga cardet landa itokee tu ndo navaa suti kawaida.
 
Back
Top Bottom