Unatakiwa kupewa tuhuma zako kwa maandishi, ujitetee, upewe na uwakilishi kisheria, upatikane na Makosa,ujulishwe kwa maandishi ndiyo upewe adhabu.Wanasheria naomba kufahamishwa taratibu zipi zinatakiwa kufanyika kabla ya mwajiriwa kupewa barua ya kusimamishwa kazi kisheria.
Ahsante kkUnatakiwa kupewa tuhuma zako kwa maandishi, ujitetee, upewe na uwakilishi kisheria, upatikane na Makosa,ujulishwe kwa maandishi ndiyo upewe adhabu.
Poa mkuuAhsante kk
Wanasheria naomba kufahamishwa taratibu zipi zinatakiwa kufanyika kabla ya mwajiriwa kupewa barua ya kusimamishwa kazi kisheria.
Haha dah,kila kitu ni maguAlaaniwe magu!
Waajiriwa wanawindwa kuliko digidigi.
Mkataba wa kudumu kkSema aina ya kazi na aina ya mkataba ulionao na muda ya mkataba uliobaki kabla ya kusimamishwa kazi.