Kusimamishwa kazi

Kusimamishwa kazi

Myhope

Senior Member
Joined
Jul 20, 2017
Posts
154
Reaction score
67
Wanasheria naomba kufahamishwa taratibu zipi zinatakiwa kufanyika kabla ya mwajiriwa kupewa barua ya kusimamishwa kazi kisheria.
 
Jifunze kujieleza mkuu,...eleza ilikuwaje mpaka mmefikia kufukuzana kazi
 
Wanasheria naomba kufahamishwa taratibu zipi zinatakiwa kufanyika kabla ya mwajiriwa kupewa barua ya kusimamishwa kazi kisheria.

Sema aina ya kazi na aina ya mkataba ulionao na muda ya mkataba uliobaki kabla ya kusimamishwa kazi.
 
Back
Top Bottom