Kilichobaki watu wanaenda kuspam page za utalii na ktk hotels wanaweka reviews mbaya kwa nchi watalii hawatokanyaga hapa hii vita ngumu sana mbinu zote zinatumika
Kama AI imekataa kusingiziwa mauaji! Basi ni vizuri maiti zirejeshwe kwa wanafamilia ili zipewe maziko yanayo stahili, badala ya kuwatupa tu kama mizoga.
Ni kutudharau wananchi na Kuona kama akili zetu zipo chini sana. Serikali inayoamini Ina wananchi smart, haiwezi kuleta majibu yakipuuzi kiasi hicho katika swala kama hili