Kusingiziwa kunauma jamani asikwambie mtu

Nilisingiziwa kuwa nimeiba 4 figure daah nilipokea kipondo kama nimeiba meli ya kijeshi, tena kipindi hicho mimi na mihesabu yao tulikuwa tofauti sana..
Haha pole mkuu ukute hukujua hata kuitumia
 
Pole mkuu japo yalishapita ila kusingiziwa huwa inaumiza sana!
 
Asante mkuu
Hasa kwa huyo rafikiako yan nimeumia kwakweli mtu umeishi nae kila kitu anakutegemea lakin kitu kidogo tu hvo na hakuwa na uhakika akathubutu kukwambia umemuibia? Bora angetafta njia mbadala (the same like uliyomwambie ex wako) kiukweli ubinadam kazi. Vp lakn bado huwa anakuja kwako japo kukusalimia?
 
Nilimsamehe. Anakujaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…