Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madogo kabisa hayo... Itakuwa hujawahi singiziwa... Ngoja waje walosingiziwa hapa... Then ujifananishe nao.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah yaani unayaona madogo haya
Nilisingiziwa kuwa nimeiba 4 figure daah nilipokea kipondo kama nimeiba meli ya kijeshi, tena kipindi hicho mimi na mihesabu yao tulikuwa tofauti sana..Niambie wewe basi uliwahi kusingiziwa nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilisingiziwa kuwa nimeiba 4 figure daah nilipokea kipondo kama nimeiba meli ya kijeshi, tena kipindi hicho mimi na mihesabu yao tulikuwa tofauti sana..
Umeona eeh, jee ikiwa wewe umelalamika hivi asa mimi nisemaje kwa hili?Haha pole mkuu ukute hukujua hata kuitumia
UsijaliKweli jamani
Hahahaaa cheko zito la kiume.Mimi niliambiwa nimegegedwa Na wanaume wote jf.me hata sijaligi .as long hayanihusu.
Pole mkuu japo yalishapita ila kusingiziwa huwa inaumiza sana!Mimi nasingiziwa sana mpaka nachoka.
Huku kwenyewe nimeshasingiziwa sema sikujali maana mtu asiekujua akikusingizia haiumi halafu sio kweli namuona mjinga tu.
Kuna watu waliniambia wangekua wao wamesingiziwa ule ujinga wa humu wangetoka kabisa. Najua kupuuzia ujinga sana sana. Ndo maana naishi na watu hata ambao wameshindikana na wengine.
Kati ya vyote kilichoniuma ni kusingiziwa kuiba aiseee. Mwanzo nilichukulia poa ila sasa hivi inaniuma like why me? Bora ningekua mdokozi kweli isingekua inaniuma sana.
1. Mwaka 2014 nilikua niko hotel flani Posta na bby sasa tumeamka asubuhi haoni bahasha yake yenye hela. Zilikua kama 1M. Basi akatafuta weeeeee. Mpaka sitting room hamna kitu. Kumbe moyoni mwake alikua anajua Mimi ndo nimeiba. Nikamwambia muulize dereva tax wako ila muulize kwa kumtega kwamba akuletee Ile bahasha. Kama hajaiona atasema. Basi akampigia simu akamwambia naomba niletee Ile bahasha hapa hotel. Hakutegemea ilivyokuja alijua ndo imepotea.
2. Siku tumetoka na rafiki yangu tukaanza kunywa. Akasema ananunua chupa ambayo ilikua kama 50k hivi. Sasa muda wa kulipa bill nishalewa zangu. Katafuta hela weee haionekani.
Kumbe katika kulewa nilimwambia lete pochi nikuwekee mana alikua kalewa isije kupotea. (Sikumbuki pia kufanya hilo) Katika kutafuta hela nakumbuka rafiki yangu akawasingizia wahudumu wamemuibia. Nikaanza kugombana nae kwanini anawasinguzia watu wnaotuhudumia kwa zaidi ya miaka mitano tena wakati mwingine watu wanakua na zaidi ya 2M na wanalewa bwiii hwaibiwi hata 100. Sasa baadae ugomvi ukawa kati yetu. Ilifika point nikahisi au hakua na hela lakini kuwasingizia wahudumu sikukubali (nimeshagombana na rafiki zangu Mara kibao kisa siwatetei wakifanya ujinga. Huwa nasimama upande wa haki.)
Sasa nikarudi kulala asubuhi nakuta message ya rafiki yangu eti ooh jana umenikosea wale wadada wameniibia hela wewe unawatetea. Nikamwambia na nitawatetea wale hawawezi kukuibia hela kwanza huna hela ya kuibiwa nao.
Saa sita sita akanipigia simu oh nimeambiwa wewe ndo umeniibia. Unaniibia mimi kweli? Nilishikwa na hasira. Maana mtu alishakaa kwangu mwaka mzima. Hachangii chochote na nilikua najua Ana hela. Niache kumuibia enzi anakaa na zaidi ya laki 5 kwenye pochi niibe laki sijui. Nikamuuliza nani kasema akasema fulani ambae ni mtu a anitakaga ila simtaki na namuonyeshaga live. Nikampigia simu nikampa maneno ya kumtosha. Sasa mchana wake nikawa natoka nikabadili pochi. Wakati natoa vitu si nikaikuta Ile hela aliyokua anaitafuta rafiki yangu. Na sikua na hela so nikajua tu ni yake. Nikampigia nikamwambia ninayo. Ningekua na lengo la kuiiba nilivyoiona ningepiga kimya tu.
3. Siku nimeenda club nikakutana na ex wangu. Muda wa kuondoka nikamwambia nirudishe home akasema kachoka ngoja anichekie usafiri. Mara akaniambia hana hela atanirudisha tu maana wallet kamuachia mshkaji wake. Kesho yake akanipigia simu akaanza kuniambia wallet yake haioni na alinipa. Nikamwambia wewe ulikua umelewa ukanijibu hiki sasa ulinipa mimi saaa ngapi. Akaanza kuniambia niache utani Ana shida na pesa na atm ziko kwenye wallet nimpe kama nimemfichia anaomba msamaha. Aiseee. Nilimsema. Mtu miaka mitatu nilikua naenda kwake hayupo sijawahi chukua hata perfume leo nikamuibie wallet tena ina card zake si ningebeba pesa tu.
4. Ndugu yangu wakati tuko primary alikua anaiba hela zikiuliziwa anasema ni mimi. Nikawa nagombezwa niache wizi hata nikijitetea hawaelewi. Siku akanunua kitu shule akampa rafiki yake akaenda nacho kwao. Kule kwao kikanonekana akaulizwa amekipata wapi akasema kanunuliwa na huyo ndugu yangu. Ikabidi wazazi wake waje shule. Babu yangu akaitwa nae ndio ikajulikana yeye ndie huibaga pesa na sio mimi.
Asante mkuuPole mkuu japo yalishapita ila kusingiziwa huwa inaumiza sana!
Hasa kwa huyo rafikiako yan nimeumia kwakweli mtu umeishi nae kila kitu anakutegemea lakin kitu kidogo tu hvo na hakuwa na uhakika akathubutu kukwambia umemuibia? Bora angetafta njia mbadala (the same like uliyomwambie ex wako) kiukweli ubinadam kazi. Vp lakn bado huwa anakuja kwako japo kukusalimia?Asante mkuu
Nilimsamehe. AnakujagaHasa kwa huyo rafikiako yan nimeumia kwakweli mtu umeishi nae kila kitu anakutegemea lakin kitu kidogo tu hvo na hakuwa na uhakika akathubutu kukwambia umemuibia? Bora angetafta njia mbadala (the same like uliyomwambie ex wako) kiukweli ubinadam kazi. Vp lakn bado huwa anakuja kwako japo kukusalimia?
Vizuri, huo ndo ubinadam.Nilimsamehe. Anakujaga
acha tu mkuu, watu wakasema eti mimi ni moderatorKumbe Ndo wewe ulosingiziwa kuwa una access na first reply ya kila thread
Niliumia sanaKusingiziwa kunauma sana