wakuu naomba msaada kuna mtoto wa miaka 10 anasinzia sana bila kujali mahali na mazingira, nahitaji ushauri wa kumpa tiba huyu mtoto. ananiumiza sana ninapomuona kwani familia haina uwezo kimatibabu nipeni ushauri wa kitabibu nimsaidieje apewe tiba gani??