kusinzia muda wowote na mahali popote

kusinzia muda wowote na mahali popote

samilakadunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
1,780
Reaction score
355
wakuu naomba msaada kuna mtoto wa miaka 10 anasinzia sana bila kujali mahali na mazingira, nahitaji ushauri wa kumpa tiba huyu mtoto. ananiumiza sana ninapomuona kwani familia haina uwezo kimatibabu nipeni ushauri wa kitabibu nimsaidieje apewe tiba gani??
 
Inaweza kuwa sleeping sickness inayosababishwa na parasite anayeitwa trypanosoma..mpeleke hosp kwa vipimo zaidi.....
 
Asante nitawashauri wazazi wake huyo mtoto, pia anauwezo mzuri sana class.
 
Back
Top Bottom