Nawahakikishieni kombe linaenda mikoani....hizi simba na yanga zinapambwa na vyombo vya habari ila kihalisia uwanjan hamna kitu....
Huu ndiyo ukweli...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli, mana hizo timu za mikoa zinacheza na Yanga na Simba mechi NNE tu, Je, ni timu gani inaweza kushinda mechi hata 30 Kwenye hizo timuNawahakikishieni kombe linaenda mikoani....hizi simba na yanga zinapambwa na vyombo vya habari ila kihalisia uwanjan hamna kitu....
Huu ndiyo ukweli...
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna timu kama coast Union.... au mtibwa zinaupiga mwingi ...tatizo inferiority complex kwa wachezaji wetu..ila wachezaji wa simba yanga hawatofautian viwango sana na wachezaji wa namungo, prison, mtibwa, polisi nkSio kweli, mana hizo timu za mikoa zinacheza na Yanga na Simba mechi NNE tu, Je, ni timu gani inaweza kushinda mechi hata 30 Kwenye hizo timu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawahakikishieni kombe linaenda mikoani....hizi simba na yanga zinapambwa na vyombo vya habari ila kihalisia uwanjan hamna kitu....
Huu ndiyo ukweli...
Sent using Jamii Forums mobile app