Kusipokuwa na rushwa ligi kuu ya vodacom

Kusipokuwa na rushwa ligi kuu ya vodacom

Sio kweli. Timu za mikoani ni za kawaida mno na sikumbuki ni lini zilikuwa bora kuliko simba na yanga na kupaswa kuchukua ubingwa ligi kuu na kuwakilisha vyema kimataifa.
 
Nawahakikishieni kombe linaenda mikoani....hizi simba na yanga zinapambwa na vyombo vya habari ila kihalisia uwanjan hamna kitu....

Huu ndiyo ukweli...

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli, mana hizo timu za mikoa zinacheza na Yanga na Simba mechi NNE tu, Je, ni timu gani inaweza kushinda mechi hata 30 Kwenye hizo timu

kuna timu kama coast Union.... au mtibwa zinaupiga mwingi ...tatizo inferiority complex kwa wachezaji wetu..ila wachezaji wa simba yanga hawatofautian viwango sana na wachezaji wa namungo, prison, mtibwa, polisi nk
Wakipewa winning mentality na makocha wao bila kuogopa ...hii ligi haina mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom