Kusitishwa Mradi wa Bagamoyo SEZ kumedhihirisha udhaifu wa Rais Magufuli kwenye Uchumi na Diplomasia

Jinga kbsa hujasoma na km umesoma basi hujaelewa, alichosema trillioni 23 ni ubia kati ya oman na china hajazungumzia kuhusu Tanzania kutoa hela zake kwenye huu mradi
 
Nyinyi ndio wale watz wachache mnaotegemea akili za mtu kuishi.

Yaani kila mtu unataka akubaliane na huyo zitto, kwanini una imani naye kiasi hicho!!!

Kwenye hili swala mnaonyesha upumbavu kiwango sana bila kusita.
Hatukubaliani na zitto ila tunachokubali ni hoja zake makini
 
Nadhani hujamuelewa mtoa mada au pengine umesoma kwa kuruka baadhi ya maeneo muhimu. Ishu haikuwa bandari tu, bali special economic zone, na hata bandari yenyewe ni yenye uwezo wa kupokea 4th Generation Ships ambapo hakuna ya aina hiyo katika ukanda huu.
 
Changamoto inayoikabili serikali ya ccm ni kutojua kipi hasa wanachosimamia kati ya ubepari na ujamaa...yaani hta maamuzi yanayohitaji kuamuliwa kibepari wao wanataka waamue kijamaa
 
Nikajua WACHINA NA WAOMANI ndio wangejenga? Wewe umeelewa Tanzania ndio ingejenga? Ona hawa raia
 
Huu mradi ungebaki kwenye makaratasi tu as utekelezaji wa mradi wa Trilion 23 kwa usawa huu wa kuchangishana buku buku hautekelezeki Kwa sasa!

ZZK usisahau kuwa jimboni kwako maji tu yanayohitaji bajeti chini ya 20 B yameshindikana kupatikana! Then unatetea 23Trilion ziende Bagamoyo? YOU ARE A WALKING CORPSE OTHERWISE A MARIJUANA CONSUMER YAANI HUJAELEWA KILICHOANDIKWA I SUPPOSE YOU ARE MENTALLY EPILEPTIC IF NOT SUFFERING FROM MENTAL ASTIGMATISM
 
Kama hamuelewi mnapita kimya chambuzi za kisomi kama hizi muwaachie wenye akili wachangie nyie mkaendelee kuimba iyenaiyena huko ccm

kwi kwi kwiiiii
Mwambie asiombe post kufutwa anapoandika mwenyewe.. muongo sana huyo mwenzako.. wenye akili zetu kuwazidi hamtupati ng'oo
 
Mkuu soma sawasawa kabla ya kundika mkuu
 
Mchina km sio kustopishwa soon alikuwa ainunue marekani in out, maana alikuwa ananunua makampuni ya marekani km hana akili ...tukija kwwnye huu mradi nadhani serikali ilipaswa kuweka mazingira ya win win situation ili tusikose vyote
 
Duh... wewe ni msomi kweli kweli.asante kwa uchambuzi mzuri. Pengine wakubwa wataiona hii makala na watareview maamuzi yao mara moja. Kujikwaa si kuanguka.
Ndugai mwenyewe kawashangaa yaani mpaka chizi kaona kuwa ni muhimu sijui huyu mzee anatupeleka wapi
 
Nyinyi ndio wale watz wachache mnaotegemea akili za mtu kuishi.

Yaani kila mtu unataka akubaliane na huyo zitto, kwanini una imani naye kiasi hicho!!!

Kwenye hili swala mnaonyesha upumbavu kiwango sana bila kusita
WEWE NI MGONJWA SIO BURE YAANI KUSAMPOTI ZITO NDO UMEUMIA HADI KIWELE
 
Ndipo uwezo wenu wa kufikiri unapokomea... hebu soma kilichoandikwa na ZK kisha ucomment tena... mbona la koroshow umeliruka?
Wazee wa "ndiyooo..." kila jambo mna msimamo sana 😆😅😅
😀 😀 😀
 
Mkuu umeelewa lakini? Au umekimbilia kujibu
 
Umenitajia Shenzhen.in mji ambao nimefika na nimejionea viwanda lukuki ambapo pia shughuli za kiuchumi zinaendelea Kwa kasi ambapo ajira kemkem kila MTU na shughuli ya uzalishaji
Katika vitu amabvyo wanasisa wetu wako sharp sana ni kutoa mifano ya maendeleo ya sehemu nyingine wakati wanapopigia upatu miradi yetu mipya. Jamani China siyo Tanzania! Hiyo Shenzhen imejengwa na wachina wenyewe na siyo wafadhili. Mchina hawezi kuja kukujengea bandani kwa gharama kubwa namna hiyo bila faida kubwa ambayo inatatuacha na umaskini wetu. Hapa mchina ameshapiga mahesabu akaona hiyo bandari ya Bagamoyo ndiyo itakuwa gate lake kuu la kuzombea malighafi iliyo Tanzania na nchi nyingine kama Kongo nk. Pia itatumika kushushia bidhaa zake duni kwa ajili ya ''dampo'' la Afrika.
 
😀😀😀 sasa hamna hela mnataka wawajengee bure na iwe bado yenu??
 
Chief ulikuwa na nafasi nzuri ya kujibu hoja za zitto bila kumshambulia yeye binafsi, by the way hongera kwa kuendelea kunogesha mjadala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…