Kusitishwa Mradi wa Bagamoyo SEZ kumedhihirisha udhaifu wa Rais Magufuli kwenye Uchumi na Diplomasia

😀😀😀😀 jengeni sasa tuone kama mna jeuri.....Ninyi hamna hela, maskini ila mna resources (port location).....Mnataka mjengewe bure mmiliki? Tumezoea vya bure kweli kweli
 
Wasiwapeleka wale maprof wa makinikia maana watafanya majadiliano kuwa mabaya zaid
 
Mkuu mimi nimekukubali, well done. Tatizo la zitto huenda wanapewa chochote ili kuweza kuwatumikia hao mabwana maana hao ndo vinara wa ushauri na ushawishi km wanavyojiita
Pliiiz tuache kujadili watu badala yake tujikite kwenye hoja
 
😀😀😀😀 jengeni sasa tuone kama mna jeuri.....Ninyi hamna hela, maskini ila mna resources (port location).....Mnataka mjengewe bure mmiliki? Tumezoea vya bure kweli kweli
Hapana hakuna anayetaka kujengewa bure na hakuna atakayejenga bure. Sisi tunataka mkataba uwekwe wazi ili tujue yaliyopo. Huu ni mradi mkubwa sana wa fedha nyingi na wa muda mrefu. Utakuwa mjinga wa mwisho kukaa na kushangilia huku hujui mkataba upoje.
 
Makala ndefu iliyojaa pumba. Mkataba ulisainiwa na CCM, iwe Kikwete au Magufuli wote ni viongozi na wanachama wa chama chenu cha majambazi. Badala ya kukosoana wenyewe, mmepata pa kulaumu kwa kumnyooshea kidole Zitto

Ccm inaongiaje hapa kama mada imekushinda si ulale
 

Hizo faida mtazipataje kama amna uwazi wa mahesabu , . Kwenye mkataba unasema kila kitu watendesha wao bila kuingiliwa sasa maana hata vibarua wanaweza kutoka china ,
 
Soma tena na tena huenda utaelewa
 
Bagamoyo ni kwa mwenzetu tusimwache na kutoka nje
 
Mh.Zitto unamaoni mazuri umetupa faida za mradi lakini ningeomba utupe na hasara zake au Masharti yake, Maana sidhani kama mtu anaweza kutoa pesa zake zote hizo bila faida au masharti fulani fulani ambayo yanatutamanisha sisi wanachi tuyajue.!
 
Nakusikitia kuwa, aidha umesoma tu kichwa cha habari lakini kilichomo hujakisoma, au umesoma ukaishia kati. Laiti kama ungeisoma kama nilivyoisoma mimi usingeleta ushabiki hapa, usingeweka hizo shombo ulizoandika hapa.
 
Wewe umeona bandari tu hapo
Umemsikia spika Ndugai?
 
Nadhani hata China na Oman watakua wameshtuka maana kuwekeza Trl 23 sehem ambayo hujui kesho unaamka je! Jiwe amefanya nchi haiaminiki kabisa
 
ila huu mradi mwanzo nilisikia ungejengwa Tanga lakini kikwete akahamisha bwagamoyo na laana ya mkoa Wa Tanga
 
Well said mkuu🤝
 

Ni kipi wachina hawapati hivi sasa kwakuwa hiyo bandari haipo? Kama bidhaa fake ziko za kutosha, kama ni malighafi bado wanapata tena kwa bei ya kutupwa. Jenga hoja za kueleweka acha kuwa kasuku.
 
Unafahamu hizo pesa zinatoka kwa nani? Au unajalibu kupiga jaramba humu?
 
Fanya summary
Serkali ipo busy inatekeleza vipaumbele vyake..
Kama mnaupenda sana kaanzeni tutajumuika badae..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…