Kusitishwa Mradi wa Bagamoyo SEZ kumedhihirisha udhaifu wa Rais Magufuli kwenye Uchumi na Diplomasia

Wachina 2020 watatoa pesa hata kwa chama cha ccj au hata kwa Devutwa akina mzee Hashim hawataka kuwasikia CCM endapo watawanyima huo mradi wa Bandari ya Bagamoyo
 
Zitto hao vibaka hawashauriki!

Kuna wajanja wachache huko CCM wametumia fursa hii kula pesa za mtukufu malaika magufuli na Naibu Rais ndugu Daud Maliyamungu Bashite kwa ajili ya kuzitumia kutengeneza propanganda za kuwasingizia wachina Uongo.
 
Kuna wajanja wachache huko CCM wametumia fursa hii kula pesa za mtukufu malaika magufuli na Naibu Rais ndugu Daud Maliyamungu Bashite kwa ajili ya kuzitumia kutengeneza propanganda za kuwasingizia wachina Uongo.
Hii nchi inatafunwa na wahuni wa awamu ya 5 kama biskuti za Marie
 

Serikali hii siyo makini na mikataba ya wachina siyo mibaya bali mashariti ya mikopo ya wazungu ndiyo magumu mpaka kupelekea mtukufu magufuli kuwageuka wachina, Serikali makini isingekuwa inanunua ndege mitumba kwa bei kubwa kwa cash kisha wanapewa 10%? Serikali makini haiwabambikii kesi kuwapiga Risasi kuwanyanyasa Wapinzani, Serikali makini imejenga Chato Airport kienyeji pasipo idhini ya Bunge, Serikali makini imeshindwa kuongeza mishahara ya watumishi wa umma kwa mda wa miaka mitatu
 
Hii nchi inatafunwa na wahuni wa awamu ya 5 kama biskuti za Marie

Le mutuz aliugua akakosa pesa akatelekezwa muhimbili kwenye wodi za mseto lakini sasa kapewa pesa za kutengeneza propanganda kahamia kuzuri akijiuguza huku akiwa busy kwenye keyboard akitengeneza Uongo wa kuwachafua wachina mpaka watanzania wachaje wajinga waamini propanganda zao
 
Wanajisumbua bure. Le mutuz ni nan? Wananchi wa Bagamoyo na watanzania tunajua ukwel hii serkali imechalala.

Mm binafsi nilinunua heka 5 pale Kerege ku tap fursa za bandari. Mfyuuuu!
 
Serikali haitoi hata cent kwenye mradi huu
 
Serikali haitoi hata cent kwenye mradi huu
"Delay
Unfortunately, the the port’s construction was delayed because the Tanzanian government was only able to raise US 1.5 million. The project was delayed until 2016, but finally resumed after much negotiation with the three parties controlling the project. "

 
Wanajisumbua bure. Le mutuz ni nan? Wananchi wa Bagamoyo na watanzania tunajua ukwel hii serkali imechalala.

Mm binafsi nilinunua heka 5 pale Kerege ku tap fursa za bandari. Mfyuuuu!
Kibaya zaidi kuna baadhi ya wananchi wa kule Mbegani jirani kabsa na Bandari ndogo ya Bagamoyo walikuwa wamelipwa fidia na wengine walihama na kuna pesa zingine zililipwa wakazi Hewa na pesa zilizosalia zikapigwa kifisadi na wajanja wachache wa CCM
 
Kibaya zaidi kuna baadhi ya wananchi wa kule Mbegani jirani kabsa na Bandari ndogo ya Bagamoyo walikuwa wamelipwa fidia na wengine walihama na kuna pesa zingine zililipwa wakazi Hewa na pesa zilizosalia zikapigwa kifisadi na wajanja wachache wa CCM
Tusipochukua hatua nchi hii inakwenda na maji. Ivi kweli wananchi tumeshindwa kujizatiti kupambana na huu ushenzi???

Nchi yetu mipango ya bunge inapanguliwa kishambashamba tu
 
Ndio icho wengine tunacho uliza kwanza 'capital structure' kabla ya kusogea na kutaka kujua details za value of exchange.

Kuna kitu akiko sawa huyo mwekezaji mkubwa 'China Merchants Group' kumbe ni private organization kwanini serikari ya China inawafanyia lobbying (ndio hayo tunayosema hizi ni government sponsored projects na hela ya serikari inatoka kwa mgongo wa nyuma lakini lazima ilipwe na faida juu).

Sasa kama una akili timamu inabidi uulize source za hela za mwekezaji anatoa wapi? yote kutoka kwenye mfuko wake au wanakopa bank (ukisikia bank ujue serikari ndio imetoa pesa kupitia hizo channels)? na asilimia ngapi ya hiyo hela ndio chanzo cha investment capital, interest za malipo ya mkopo zipoje, etc.

Hili ni swala muhimu kwa sababu lina influence jinsi gani wao wata control nini mpaka hela yao irudi na sisi tunapata nini na kuna madhara makubwa ya mgawanyo wa faida na makusanyo ya kodi zetu za mbeleni kutokana na gearing ratio ya investment. Kama asilimia kubwa ya mtaji chanzo chake ni mkopo awafai kabisa na muda wao wa ku-control bandari utakuwa mrefu hadi warudishe.

Thats just a start kwa upande wetu hakuna kitu kinachokera kama serikari kufanya kila kitu siri wakati si ajabu watu wa nje wanajua kuliko watanzania wenyewe ukisoma tu ata hako ka-link kadogo unaona mwandishi yupo informed in contract details.

Hii ni tabia mbaya na ujinga kwa upande wa serikari toa leaks watanzania wachangie sio kuficha upate opinions za wengi mradi unaweza kuwa mzuri au mmbaya but on what grounds kama watu hamjui details zenyewe.

Jamaa ni watu wa ovyo kweli.
 
LABDA TUANZIE MBALI KIDOGO,,HIVI MTU ANAYEJENGA HOTEL YA KISASA HATA YA BILLIONI 10 AU 20,,KWENYE ENEO LA ARDHI LA HEKTA 20 KWA MFANO,, HIYO ARDHI ALIYOTUMIA KUJENGA HOTEL INAKUWA CHINI YA UMILIKI WA NANI?
Hivi unawezaje kujenga investment kubwa hivyo kwenye ardhi ambayo huna uhakika na umiliki wake. It's obviously kabla ya kujenga lazima kwanza uhakikishe ardhi unayoitumia inaguarantee kwanza Uwekezaji wako. Maana unaweza ukajenga ukaambiwa umejenga kwenye ardhi siyo yako. So eidha ubomoe au uache hiyo property kwa wenye ardhi yao.
 
Zito sio mzalendo kabisa
Anajua fika huo mradi tunaingizwa mkenge na bado anautetea na bahati mbaya Sana vijana wanna yupo sawa

N upuuzi kuingia mradi mkubwa Kama huu ambao Haina win win situation

Bravo serikalibya awamu ya tano sisi sio kichwan Cha mwendawazimu tukaibiwa kizembe
 
Wewe umekariri propanganda za akina cyprian Musiba umekuwa zezeta mpaka unazani mradi hauna faida, tambua mikataba wa Bandari ya Bagamoyo siyo hatari wala mbaya isipokuwa magufuli na Bashite wamekopa pesa za kujenga chato Airport na reli kwa wazungu ndipo wakapewa mashariti kuwa endapo wanataka pesa lazima wamfukuze mchina huko Bagamoyo ni njaa za Naibu Rais na mtukufu zimepelekea kutengeneza propanganda uzushi kwa wachina ili wapate kutekeleza malengo yao, watanzania wajanja wanajua Ukweli lakini wale mbumbumbu wataendelea kukariri propanganda za le mutuz na cyprian Musiba ambao wamelipwa pesa nyingi kuwahadaa.
 
Nini maana ya Uzalendo? Huko CCM kuna mzalendo? Kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya Bunge ni Uzalendo? Kula 10% ununuzi wa ndege kwa cash tena bei kubwa mara dufu ni Uzalendo? Kuwabambikia kesi kuwapiga Risasi Wapinzani ni Uzalendo?
 
Mradi unajengwa na wachina, siyo bajet ya nchi kama nilivyoelewa mm. Wao wanawekeza kwa makubaliano na serikali ya TZ
 
Thibitisha tuhuma zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…