Kusitishwa Mradi wa Bagamoyo SEZ kumedhihirisha udhaifu wa Rais Magufuli kwenye Uchumi na Diplomasia

Ukiweza soma Zote ya zzt na ya huyu mwamba Wa kasikazini nimwanzo mzuri wakuelewa huu mradii alafuu endelea .kama jk asemavyo akili za kuambiwa changanya na zakwako utaekewa zawadii hasante
 
Haujaandika kitaalamu saana lkn na HOJA madhubuti
 
Nini maana ya Uzalendo? Huko CCM kuna mzalendo? Kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya Bunge ni Uzalendo? Kula 10% ununuzi wa ndege kwa cash tena bei kubwa mara dufu ni Uzalendo? Kuwabambikia kesi kuwapiga Risasi Wapinzani ni Uzalendo?
Wewe ni Kama Lisu man orodha ya hoja zisizo na ushahidi Hadi manonekana mnapiga kelele tu

Kama kweli n critical thinker thibitisha Kila ulicjotuhumu
1.Kujenga uwanja Chato
2.Kula 10% ya ununuzi was ndege
3.Kuwapiga risasi wapinzani

Kama hayo usemayo n kweli Mr.President angekuwa anatakiwa na mahakama ya unalifu was kivita au binafamu tena kwa moja tu la kuua wapinzani

Jipange upya uje na hoja zenye mashiko.Ndio sabab kwenye BBC hard talk hata Lisu alionekana n mlalamikaji na mtoa tuhuma zisizo na evidence machoni pa ulimwengu
 
Nimemdharau sana Zitt Nimemdharau sana Zitto kabwe kwa andiko lake hili. Nimeamini kweli Zitto ni kuwadi wa mabeberu..alitukuwadia mikataba ya madini akafaidika binafsi na ubunge wake sasa anataka atukuwadie bandari kwa wachina... Hili linenipa sababu ya kuelewa chanzo cha ukwasi wake
Ukuwadi wa Tasilimali za taifa.
Niseme kwa ufupi kwa anayefuatilia aina mpya mashirikiano ya china nchi maskini zinaxohitaji mikopo mikubwa hawezi kuwaamini wachina tena
Kwa anayefuatilia madhara ya mikataba yao kwa nchi masikini hawezi kumuelewa Zitifike mahala tuseme bas kwa wanasiasa wabinafsi walafi walaghai na wapotoshsaji kama Huyu
Zitto jiulie tuliwakabidhi waxungu Ttcl. Dawasco na miradi mingine kibao tumeambulia nini
 
Bila kutumia maneno ya kumdharau rais na serkal yake huon kuwa umejadili
 
Bila kutumia maneno ya kumdharau rais na serkal yake huon kuwa umejadili
Sio wajibu wake kuremba remba maneno wakati ukweli uko wazi. Haya Leo mambo yako hadharani mradi umekufa huo na pamoja na majidai yote na kashfa kwa wengine kama wake wenza serikali itatueleza nini?
Zitto endelea kuhabarisha ukweli na mwache Polepole aendelee kudanganya maji machafu ni togwa
 
Kwi kwi kwi swali zuri.. akijibu nitagi.
Anasubiri afanye mazingaombwe wamchague tena
nilijuwa tu KIBIBI Weee ungeangukia hapo. nakuona hapo kinaniliu mpaka kimikuchezacheza..
mengine yooote aliyoeleza zitto unaona ni utumbo yani nyie viumbe wa lumumba sijui mmilishwa ngada ya kutoka nchi ipi sijui kah!!
 
hivi umesoma tread yote kweli? hujaona pahala kasema funds zinapotoka?
 
Naona thread kumhusu Zito zimekuwa nyingi,

Au ndio kujipigia Chapuo zile nafasi 10 za uteuzi,

Haya bwana wanasiasa na siasa.
 
Shida ilianzia hapa kwa kuacha hii project. Zitto njoo huku
 
Shida ilianzia hapa kwa kuacha hii project. Zitto njoo huku
Walipoacha hii, ndio Samia akaona asaini hiki cha kuuza rasilimaji zote za Tanganyika?!

Kwa hiyo na hili la mkataba wa kijinga huu, tumlaumu Magufuli, sio?!
 
Njoo utupe na nondo za DP world sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…