Kusitishwa Mradi wa Bagamoyo SEZ kumedhihirisha udhaifu wa Rais Magufuli kwenye Uchumi na Diplomasia

ZITOO Kuna wakati nashindwa kukuelewa japo hua una logic.... Leo umekuja na hii makala baada ya mradi kushindwa na inaonekana uliuhitaji huu mradi.....

Swali je wakati huu mradi unajadiliwa mwanzo uliandika makala kuusifia na kutoa faida zake kwa umma au ngoja tusubiri tushindwe then tujitokeze kusifia kikichoshindikana???

Hapa ndo unafiki wetu hudhihirika.
 
Kama ni hivyo basi tusingenunua mapangaboi na kuyapaki chato... Hiyo ela ingeenda kutekeleza miradi ya maji vijijini!!
 
Huyo nae siku hizi anatetea wizi sijui alishalambishwa, maana hakua hivyo, trillion 23 ni bajeti ya Tanzania (actual) ya mwaka. Huu ni wizi wa mchana
 
Mlishasenma ampeleki maendeleo majimbo ya upinzani, hata wabunge wahamaji wameyathibitisha hayo kwann muwalaum wapinzani kushindwa kutimiza ahadi zao waachieni wakusanye kodi za majimbo yao then muone.

Una shida ya uelewa - nani aliyelaumu wapinzani kwenye hizo statements zangu!
Ufafanuzi nilioutoa unahusu umuhimu wa kuanzisha SEZs ya Bagamoyo sababu ina multiplier effects nyingi kwa maana ya kwamba fedha zitakazopatika kwenye SEZs zitaweza kutekeleza miradi mingine midogo midogo ya maendeleo hususan maji, umeme, afya nk

Lakini pia acha kulisha watu amneno - wapi niliposema kuwa majimbo ya upinzania hatutapeleka maendeleo - JE, UNAKUBALI MANENO HAYO? Sasa funguka kwa uthibitisho huu:-
(i). Jimbo la Bukoba Mjini la Mhe. Lwakatare (CHADEMA) - zinajengwa barabara za lami kona zote za mji, umeme umefika, maji, afya, elimu, stand mpya nk vimeimarishwa - kama ingekuwa hivyo miradi hiyo ingetekelezwa?

(ii). Jimbo la Kigoma Mjini la Mhe. Zitto Kabwe (ACT Wazalendo) - zinajengwa barabara za lami kona zote za mji, umeme umefika, afya, elimu, stand mpya nk vimeimarishwa - kama ingekuwa hivyo miradi hiyo ingetekelezwa?

(iii).Jimbo la Ikungi Mashariki la Mhe. Tundu Lissu (CHADEMA) - zimejengwa barabara za lami (Manyoni - Singida), barabara ya Ikungi - London kwenye machimbo ya dhahabu, umeme wa REA umefika, afya, elimu, nk vimeimarishwa - kama ingekuwa hivyo miradi hiyo ingetekelezwa?

TUHUKUMU KWA HAKI! HAKI HULIINUA TAIFA

MK 2019
 
Endapo Serikali ingeendelea na kukubali masharti ya mradi huu, huyu huyu Zitto angetokea tena na kupinga, na angesema Serikali imeingia mikataba mibovu.
 
Huyo nae siku hizi anatetea wizi sijui alishalambishwa, maana hakua hivyo, trillion 23 ni bajeti ya Tanzania (actual) ya mwaka. Huu ni wizi wa mchana
Zaidi ya wachangiaji 98% mnaokomenti hapa hamjasoma kabisa andiko la Zitto.

As long mnajua Zitto ni mpinzani, then from there hamkosi cha kuandika hata kama angekuwa kaandika NUKTA tu.
 
Spika aishangaa serikali kusitisha mradi wa Bandari Bagamoyo

Spika Ndugai anasema kitendo cha serikali kuanza ujenzi wa treni ya SGR ni sawa na kugeuza mkokoteni kuwa Mbele na Ng'ombe kuwa nyuma.
.https://youtu.be/U_sLJOKbTsw
 

Usijibu kitu usichokijua. Mradi wa bandari ya bagamoyo ulikuwa ujengwe na china kwa kushirikiana na UAE wala TZ ilikuwa haiweki hata senti moja.
 
Hicho ambacho mwekezaji angechukua ndicho ambacho sisi kupitia mamlaka ya bandari tungepata plus hizo kodi unazosema kama tukifanya wenyewe. Unatakiwa uwe na uwezo wa kuona condition zote.
 

Zipo google search utazikuta.
 
Usijibu kitu usichokijua. Mradi wa bandari ya bagamoyo ulikuwa ujengwe na china kwa kushirikiana na UAE wala TZ ilikuwa haiweki hata senti moja.
Mradi wa bagamoyo ungerejesha fedha Na faida Kwa haraka kuliko SGR,Pia ungechangia sana nchi kupokea fedha nyingi za kigen
 
Ndugu yangu,hata kama hizo bandari zetu ulizozitaja ziko kwenye UPANUZI na wote tunajua kwamba kadri UNAVYOPANUA NDIVYO WATU WANAVYOTAMANI au sio?lakini kumbuka hizi bandari zimejengwa na wakoloni miaka hiyoo kitambo na haziendani na matakwa ya muda huu na teknolojia inayohitajika kwa sasa,kwahiyo itoshe tu kusema maboresho yote yanayofanyika sasa ni sawa na kuweka kiraka kipya kwenye kanzu ya zamani,maboresho hayawezi kuwa sawa na ujenzi mpya wa bandari isitoshe mtoa mada ameweka wazi mradi unahusisha miradi mingine zaidi ya bandari.
 
Wew umeelewa lakini. Kwani hiyo 23t wanatoa serikali
 
Kwani serikali wametoa sababu gani haswa ya kufanya huu mradi usiendelee
 
Kwa hili namwunga mkono rais kwa 100%. Huu mradi hauna tija kwa taifa zaidi ya ubinafsi wa watawala wetu. Kwanini haikuendelezwa bandari ya Tanga? Huu mradi unatofauti gani na miradi kama ya airport inayoendelea Chato?
 
Nadhan ni beneficil afadhali kuliko chatu intenesino
beneficial
/bɛnɪˈfɪʃ(ə)l/
adjective

  1. 1.
    resulting in good; favourable or advantageous.
    "the beneficial effect on the economy"
    synonyms:advantageous, favourable, helpful, useful, of use, of benefit, of assistance, serviceable, of service, instrumental, valuable, of value, in one's (best) interests, worthwhile, good, positive; More


  2. 2.
    LAW
    relating to rights to the use or benefit of property, other than legal title.
    "the appellant had no beneficial interest in the house"
 
Financer wa mradi 100% ndio hafai.

Umesoma uchumi wapi nyumbu wewe!!!

Maana yake hiyo bandari ni mali ya hao wachina 100%, unajua madhara yake, au mauno tu kama kawaida yenu!!
Kwa hiyo Tz haitofaidika?
 
Nafikiri wewe hujasoma makala yote au hujaisoma hata kidogo. Ulichoandika hapa kinadhihirisha hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…