kusogezwa kwa tarehe ya maombi ya mikopo

kusogezwa kwa tarehe ya maombi ya mikopo

Joined
Aug 17, 2012
Posts
16
Reaction score
1
hivi ni kweli kwamba tarehe ya mwisho kupokea maombi ya mikopo kwa wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na vyuo vikuu tanzania imesogezwa toka 30/06/2013 hadi 31/07/2013 ?
 
kama upo dar nenda pale post uone HYO foleni ndo utajua mstali uliokufa ni June 30
 
tembelea website ya heslb wameandika tar 31 julai 2013 nimeona sasa hivi on the right hand side of the page kuna sehemu wameandika quote of the day
 
tembelea website ya heslb wameandika tar 31 julai 2013 nimeona sasa hivi on the right hand side of the page kuna sehemu wameandika quote of the day

hakuna jipya kwenye website yao - tupe link au copy ya hilo tangazo. hata TCU wangeongeza muda kwani wengi ndo wanajua na kurekebisha No za met min requirement
 
don't pull our leg!!!! with a grain of salt
 
Achane uboya tatizo mnafungua website mkiwa juujuu kama wauza nyanya,bodi imeongeza cku hadi 31 jul,Tatizo vilaza mnatusumbua,unataka link ya nn huku umbeambiwa upande wa kulia juu.

Achane uboya tatizo mnafungua website mkiwa juujuu kama wauza nyanya,bodi imeongeza cku hadi 31 jul,Tatizo vilaza mnatusumbua,unataka link ya nn huku umbeambiwa upande wa kulia juu.

kodi za wauza nyanya ndizo zinazokusomesha..........be wise
 
Back
Top Bottom