Acha ujinga wewe. Pre-form one haimo kwenye National Qualification Framework (NQF). Ni kama kusoma tuition tu. Ya kuwasiaidia wale wazito kuelewa. Ndo maana ni kitu cha muda mfupi.
Mkuu Alijaribu Kuweka Uelewa KdgAcha ujinga wewe. Pre-form one haimo kwenye National Qualification Framework (NQF). Ni kama kusoma tuition tu. Ya kuwasiaidia wale wazito kuelewa. Ndo maana ni kitu cha muda mfupi.
Diploma ni ngazi mojawapo ya NQF, na inachukua miaka miwili. Kama anapenda kupoteza huo muda sawa ni hiari yake. Lakini ana uwezo wa kwenda moja kwa moja LLB.
Vip kama akijiunga Na chuo cha open coz naskia kwa upande Wa sheria wapo vzrMoja Kati Ya Fani Bora Yenye Option Ya Kujiajiri Au Kuajiriwa, Ila Ni Kitu Ambacho Muda Mwingine Ni Kipaji Binafsi Kutoka Moyoni,
Mkuu, Aliomba Udsm na mzumbe wakamtema... anadai anadhani ili mzuri zaidi aende IJA Tanga then atokee huko kwenda DegreeKwanza kabisa mpe hongera kwa kuchagua moja ya fani chache ambazo utakachosoma ni kweli utakitumia katika maisha na kazi zako. Maana Tanzania kuna fani nyingi sana ambazo vitu unavyosomea chuoni wala hutavitumia kwenye kazi wala maisha yako.
Baada ya hilo nikuulize swali - kama amefaulu A-level kwanini anataka aende Diploma? Ukifaulu A-level unaingia Degree moja kwa moja.
Yeah Wapo Vzr, Wanatoa Elimu Ya Masafa( Distance Learning)Vip kama akijiunga Na chuo cha open coz naskia kwa upande Wa sheria wapo vzr
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, Aliomba Udsm na mzumbe wakamtema... anadai anadhani ili mzuri zaidi aende IJA Tanga then atokee huko kwenda Degree
Sent using Jamii Forums mobile app