Kusoma insuarance law au human rights, kipi bora?

nshimiyimana

Member
Joined
Oct 18, 2014
Posts
40
Reaction score
25
Mimi ni mwanachuo wa sheria mwaka wa tatu na wa mwisho nimekuja kwenu kuomba ushauri juu ya options ya insuarance law na human rights ipi niisome najua wazi kuwa nikifika law school human rights ntaikuta kama core subject

Sasa nipe ushauri na huku mkinipa sababu ni ipi ipo marketable.

Natanguliza shukrani
 

Soma insurance law manake ukienda LS hutoisoma utaikuta kazini if at all ukifanikiwa kupata kazi inayoinvolve IL,tho itakusaidia ktk maisha yako,unavofika LS unaanza upya kufundishwa so utasoma HRL vizuri tuu,afu kwanza IL ni rahisi kwa hyo nakushauri soma hyo kwa ss,vya LS utavisoma
 
asante mariez, wewe permanides kesi ya shiminimana nipe parties inahusu nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…