kusoma kidato cha tano huku ukirudia(kurisiti)

Bengazuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2013
Posts
1,029
Reaction score
1,236
wakuu naomba msaada hivi kama unasoma kidato cha tano huku ukirisiti kutafuta credit tatu kuna madhara gani kitaaluma?
 
Hamna madhara ila cha muhimu ni msuli wako tu ndio utakaokutoa lakin hata kama utapata crdt utalazamika kufanya mtihani wa ACSEE kama private Candidate sio school candidate.
 
asante mkuu
 
wakuu naomba msaada hivi kama unasoma kidato cha tano huku ukirisiti kutafuta credit tatu kuna madhara gani kitaaluma?

aisee pole sana pamoja na kusaishwa upya bado ulifeli?tafuta chuo uanze certifcate achana na mambo ya necta mdogo wangu
 
Back
Top Bottom