Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa mzalendo mkuu, alimteua hadi hakimu mmoja kuwa jaji kwa sababu aliandika hukumu kwa Kiswahili 🤣Hayati Magufuli alikuwa na Phd kabisa hawezi hata kuongea sentensi moja
Ni uzwazwa tu,wazungu wakija nchini miezi sita tu ni kama wazaramo
Inawezekana hawajui, swali, kwanini walimu wasijue1. Tatizo kinafundishwa kwa kiswahili.
2. Wengi wetu tunawaza kwa kiswahili na kuzungumza/andika kiingereza.
3. Kuna "common mistakes" za kutamka maneno, muundo wa sentensi kama hii "Juma he is at home", "Did you went to school yesterday" hazifanyiwi kazi na walimu wetu.
Ingekuwa inaishia kwenye kuringa tu, wadau wangemwaga ung'eng'e bila shida,..sasa kwenye kuonekana shoga hapo ndo watu hatuna habari nayo,....Ni kwamba hatukitumii, hicho tu
Kwanza tanzania ukiongea kiingereza kizuri unaonekana unaringa ama ni shoga. Hii ipo kabisa
My friend, mastering a language requires practice. Nothing more, nothing less. Lugha haisomwi bali inaongewa. Hata ukikaa darasani kusoma lugha kwa miaka mingi kama hupati muda wa kufanya mazoezi kwa kuongea ni bure.Kusoma lugha mfano Kingereza kwa miaka 10 bila kuimudu lugha yenyewe vizuri inadhihirisha uduni wa wa mfumo wa elimu, attitude mbovu au IQ ndogo za wasomaji?
🤣🤣🤣Tatizo ni kinaishia darasani ukitoka mpaka kipindi kijacho. Na waalimu wenyewe wanafundisha kiingereza kwa kiswahili
Tumekosoma diaspora...None of that.
Lugha sio technicality, ni habit au tabia. That's why hata ukimtoa mtoto wa Kitanzania chini ya mwaka mmoja na ukampeleka USA, akifika 6 atakuwa anaongela fluent English bila ya wasiwasi. Hiyo ni applicable conversely kama ukimtoa mtoto kutoka USA na kumleta Tanzania.
Kusoma English shule kunakupa tu basics na technical necessities za lugha husika, kamwe hauwezi kuwa fluent that way. Badala yake unatakiwa iwe "tabia." Kwa kusikikiliza natives na kuji-immense kwenye culture au tamaduni zao, mfano books, music, movies, YouTubers na all kind of contents. Hata practice haitoshi kukufanya uwe 100% fluent.
Personally, hiyo ndiyo njia iliyoniwezesha kuongea na kuandika English fluently, even though I'm still learning. And yes, I sound white as fuk, but I try to keep the taste of my accent somewhere in there!