Kusoma Kiingereza muda mrefu bila kukimudu sawa sawa tatizo ni nini?

Hayati Magufuli alikuwa na Phd kabisa hawezi hata kuongea sentensi moja
Ni uzwazwa tu,wazungu wakija nchini miezi sita tu ni kama wazaramo
Alikuwa mzalendo mkuu, alimteua hadi hakimu mmoja kuwa jaji kwa sababu aliandika hukumu kwa Kiswahili 🤣
 
Inawezekana hawajui, swali, kwanini walimu wasijue
 
Ni kwamba hatukitumii, hicho tu

Kwanza tanzania ukiongea kiingereza kizuri unaonekana unaringa ama ni shoga. Hii ipo kabisa
Ingekuwa inaishia kwenye kuringa tu, wadau wangemwaga ung'eng'e bila shida,..sasa kwenye kuonekana shoga hapo ndo watu hatuna habari nayo,....
 
Kusoma lugha mfano Kingereza kwa miaka 10 bila kuimudu lugha yenyewe vizuri inadhihirisha uduni wa wa mfumo wa elimu, attitude mbovu au IQ ndogo za wasomaji?

My friend, mastering a language requires practice. Nothing more, nothing less. Lugha haisomwi bali inaongewa. Hata ukikaa darasani kusoma lugha kwa miaka mingi kama hupati muda wa kufanya mazoezi kwa kuongea ni bure.
 
Lugha yoyote bila kuanza kujifunza utotoni lazima ikusumbue. Nchi nyingi za Afrika zina hili tatizo ingawa kwa Tanzania tatizo ni kubwa zaidi. Kama mtu ana hela ampeleke mtoto shule nzuri ya English Medium.
 
Kingreza ni lugha tu tena ya wakoloni, hakuna sababu ya kujivunia kujua lugha ya wakoloni, ni sehemu ya utumwa
 
None of that.

Lugha sio technicality, ni habit au tabia. That's why hata ukimtoa mtoto wa Kitanzania chini ya mwaka mmoja na ukampeleka USA, akifika 6 atakuwa anaongela fluent English bila ya wasiwasi. Hiyo ni applicable conversely kama ukimtoa mtoto kutoka USA na kumleta Tanzania.

Kusoma English shule kunakupa tu basics na technical necessities za lugha husika, kamwe hauwezi kuwa fluent that way. Badala yake unatakiwa iwe "tabia." Kwa kusikikiliza natives na kuji-immense kwenye culture au tamaduni zao, mfano books, music, movies, YouTubers na all kind of contents. Hata practice haitoshi kukufanya uwe 100% fluent.

Personally, hiyo ndiyo njia iliyoniwezesha kuongea na kuandika English fluently, even though I'm still learning. And yes, I sound white as fuk, but I try to keep the taste of my accent somewhere in there!
 
Tumekosoma diaspora...
Vipi kuhusu uraia pacha au tanzanite card ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…