kusoma kwa njia ya online

kaburu mdogo

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
567
Reaction score
400
nimemaliza chuo mwaka jana na ninampango wa kujiendeleza masters mwenyewe kwa kusoma online,tafadhali naomba sana kwa watu wanaojua njia sahihi za jinsi watu hawa wanatoa elimu zao wanielekeze maana mie naskia watu tu wakizungumzia kusoma kwa njia ya online na sijui njia hii inatoa vipi material, labda kwa simu,video au mail,naomba sana kujua.
pia ningependa kujua baadhi ya vyuo vizuri kwa njia hii na gharama zake mpka mtu umalize au kwa mwaka,research zao zinakuaje na jinsi gani watu wanafanya mitihani yo.
natanguliza shukrani zangu kwenu
 
Inategemea na Program unayotaka kusoma, mfn Engineering, Medicine online nadhani haiwezekani, but MBA is very common, Finance, or all business courses, Nenda Open University, nadhani Pia UDSM wana Enginering Management ipo ya Online... kila la kheri....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…