kaburu mdogo
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 567
- 400
nimemaliza chuo mwaka jana na ninampango wa kujiendeleza masters mwenyewe kwa kusoma online,tafadhali naomba sana kwa watu wanaojua njia sahihi za jinsi watu hawa wanatoa elimu zao wanielekeze maana mie naskia watu tu wakizungumzia kusoma kwa njia ya online na sijui njia hii inatoa vipi material, labda kwa simu,video au mail,naomba sana kujua.
pia ningependa kujua baadhi ya vyuo vizuri kwa njia hii na gharama zake mpka mtu umalize au kwa mwaka,research zao zinakuaje na jinsi gani watu wanafanya mitihani yo.
natanguliza shukrani zangu kwenu
pia ningependa kujua baadhi ya vyuo vizuri kwa njia hii na gharama zake mpka mtu umalize au kwa mwaka,research zao zinakuaje na jinsi gani watu wanafanya mitihani yo.
natanguliza shukrani zangu kwenu