Nakushauri kabla hujachukua hatua ya kusomea hii coz ujiulize masuali mawili. Unataka kuwa nani ndani ya miaka mitano ijayo, je uko interested kufanya kazi za monitoring and evaluation, je utaiweza (unapenda research, kuandika report, hesabu(statistics) etc..usiande tu kwa kushauriwa jenga interest zake na uzifuate..