Mbelwa Germano
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 789
- 289
Habari wana jf,kuna kozi mpya imeanzishwa mwaka huu pale mzumbe university ya health monitoring and evaluation,je kwa mwalimu wa B.A.ED anaweza kusomea hii kozi au ni spesho kwa watu waliosoma bachelor za afya tu?,vipi kuhusu ajira zake na ushindani sokoni?? NAOMBENI MCHANGO WENU TAFADHALI.