Naomba kupingana nawe, OUT inakufanya usome kuelewa mwenyewe wala si kutafuniwa. Na self discipline na proper time management ndio nguzo kuu. Kwa unayetaka kusoma MPM au course nyingine yoyote, karibu sana.Kama unataka cheti tu basi kasome Open
UDSM tena imetoka wapi?Umeshawahi kusoma vyuo vya Ulaya? Au kwa kuwa mmezoea kuburuzwa UDSM ndio unakariri. Kwa taarifa yako, duniani sasa hivi wanafata usomaji kama wa Open though
Nikushauri yafuatayo:Wanazuoni na mimi nahitaji msaada wetu. Nina BAED (Shahada ya Ualimu) nimeomba Open Degree ya Law.
Kuna kosa nimelifanya kwenye system wakati wa kuomba. Nimeomba kwa Direct entry nimejaza kila kitu nikatuma, nkagundua kuna kitu nimekosea nikaedit nikatuma tena.
Mara nikasoma maelekezo tena nikaona wanasema lazima uwe na 4.0 cut points. Mimi nina 3.5, kuna jamaa akaniambia niapply kama Equivalent nikafanya hivyo nikatuma tena sasa hii inakuwa mara ya tatu.
Wasiwasi wangu je nitachaguliwa kweli, maana nimetuma mara 3 na ni moja tu ambayo inaonyesha vigezo hii ya Equivalent pekee. Na je ukikosa unatakiwa kufanya nini? Naombeni neno lenu ndugu zangu.
Nashukuru. Nitakwenda kesho Kinondoni alafu nitakujuza.Nikushauri yafuatayo.
1. Open university ina vituo kila mkoa, nenda haraka kituo cha mkoa uliopo, hilo sio tatizo kubwa la kukufanya ukate tamaa.
2. Nakushauri usome Prospectus ya chuo imeeleza vizuri sifa za kujiunga na OUT, kwa wale wa Direct entry and Equivalent entry. Prospectus inapatikana website ya chuo.
3. Hakikisha unapofanya application tena unapata msaada wa wasimamizi wa vituo (Regional Coordinator) wao wana ufahamu mpana wa nini unapaswa kufanya
Ok. Naamini utafanikiwaNashukuru. Nitakwenda kesho Kinondoni alafu nitakujuza.
Ahsante sana ndugu, msinichoke. Sina nijualo kuhusu OUT hivyo nitakuwa na maswali mengi kwenu.Ok. Naamini utafanikiwa
Hamna kitu pale. Ni beua beua tuKweli kwa usomaji huo sidhani kama utamaliza hapo ukiwa competent graduate
Nimefanikiwa, nimechaguliwa kuchukua Bachelor of Laws intake hii ya July. Sasa bado nipo gizani natamani nipate mtu anayesoma/aliyesoma ili anipatie mwongozo jinsi ya ulipaji wa ada kwa hizo kozi nk.Ok. Naamini utafanikiwa
HaswaNasikia una uhuru wa kuchagua idadi ya masomo na aina ya masomo ya kusoma kwa semester.
Upo mkoa gani?Nimefanikiwa, nimechaguliwa kuchukua Bachelor of Laws intake hii ya July. Sasa bado nipo gizani natamani nipate mtu anayesoma/aliyesoma ili anipatie mwongozo jinsi ya ulipaji wa ada kwahizo kozi nk.
Pga 0654865376Nimefanikiwa, nimechaguliwa kuchukua Bachelor of Laws intake hii ya July. Sasa bado nipo gizani natamani nipate mtu anaesoma/aliyesoma ili anipatie mwongozo jinsi ya ulipaji wa ada kwahizo kozi nk..
Tutafutane mkuu nachukua hiyo pia2019/2020. Nataka nianze safari yangu ya kusaka Bachelor of Science in Chemistry.
Mimi hapaHumu hakuna mtu aliyechaguliwa Open jamani