Barnaba pro
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 210
- 13
Me naombeni ushauri kwa wanaofahamu mambo ya mipango na uongozi ipi nzuri kusoma chuo kwa ajira ya uhakika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajira ipi unayo manisha, Ajira ya kuajiriwa au kujiajiri?
Kirikuu10
Kwann?
Ajira za mipango hazipo! Kuna kijana alikimbilia kusoma regional planning, ameishia kuajiriwa kama mtendaji Wa Kata! Ila hiyo itamsaidia kwa baadaye maana ikitokea nafasi kwenye mipango lazima wamfikrie kwanza!